Siku akijibu mapigo msilie

Siku akijibu mapigo msilie

Status
Not open for further replies.
Hahahaaa umeona eeh...

Au anaweza kusema 'kuwashwa washwa kwake ndo kumemponza'.

Jamaa akili yake anaijua mwenyewe aisee.
Kuna watu wamemmind sana kitaa lakini, kwa hiyo he better watch out, not to that extent.
 
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.

Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.

Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.

Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.

Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.

Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.

Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].

Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.

Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.

Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!

Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,

Alhaji Ngabu.
Ngabu Mara hii umeshakuwa msemaji wa baba jesca

Hongera mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cha kushangaza akifanya hivyo, haitakuwa Mara ya kwanza
 
Kama nilivyokuwa natarajia baada ya kupata habari za jaribio la kuchukua uhai wa Tundu Lisu, akili za watu wengi ziliwatuma kumhisi rais Magufuli kuwa ndiye anahusika na jaribio hilo.

Mpaka sasa huyo bwana mkubwa hajalizungumzia tena hadharani hilo jambo zaidi ya yale maneno yake machache ya kulaani hilo shambulio kwenye mtandao wa Twitter.

Maneno mengi sana yanasemwa na nadharia kadha wa kadha zimebuniwa kuhusu uhusika wake.

Na kwa kadri nijuavyo yeye hajasema lolote juu ya hayo yanayosemwa. Naamini hajasema hivyo kwa makusudi tu na si kwa sababu hajui kuwa anasemwa semwa na kuhisiwa kuwa yeye ndiye mhusika.

Naamini huwa anapita sana humu na kusoma yanayosemwa na watu anaowaongoza.

Lakini naamini pia ya kwamba ipo siku atalizungumzia tu hili suala.

Na hiyo siku ikifika, maneno atakayoyasema, yasije tu kuwaliza. Yule bwana siyo mtu wa PC [political correctness].

Mdomo wake hauna chujio. Yatokayo huwa yanatoka hivyo hivyo yalivyo. Hayapitii chujio wala uhariri.

Siku ya yeye kulizungumzia hilo suala, naamini atakwaruza na kujeruhi hisia za watu wengi.

Hivyo kaeni mkao wa kupokea maneno ambayo hamkuyataraji.. msije tu mkasema Ngabu hakuwatonya!

Ni mimi wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa,

Alhaji Ngabu.
Hahahaha hata mimi nawaza tu akija ongea kuhusu hili jambo anaweza chafua kabisa hali ya hewa

Pilato 007
 
Ataacha kutumia bunduki sasa ni sumu za north korea maana hili la lissu limemuacha uchi maana alisema hawezi kusurvive
 
Yule kichaa siwezi kushanga akisema "kwani tukitaka kumuondoa mtu kimya kimya tunashindwa?"
Hana lolote yule . Alafu dizaini kama jamaa anazeeka kwa spidi ya jet.
 
Ni ukweli mdomo wake hauna speech governor,siku ya siku atamwaga shombo la kutisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom