Siku 90!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku 90!!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ibrahim K. Chiki, Jun 30, 2011.

 1. Ibrahim K. Chiki

  Ibrahim K. Chiki Verified User

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 594
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  kwenu wadau, hivi kama sijakosea siku tisini tulzoahidiwa na ndugu zetu wa magamba si tayari.., sa mbna wajomba zetu wamekaa kimya...nepi, mukama na kiranja wao??? tuwekeni wazi basi.
   
 2. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wameshakanusha jana hakuna cha siku 90 naona wameogopa LOWASA kumwaga mbona

  mimi hii nilijua NAPE nachuki na lowasa kwa mambo yao binafsi lakini ana ubavu kwa kelele zake.
  alitaka kutuada watanzania maana anajua tumechoka na ufisadi ndio maana akapiga kelele za mafisadi kutoka.
  chama hakina mfadhili na nchi haina raisi( mtalii) watakufa njaa.
   
 3. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Jana nepi imekana waziwazi kwamba hajawahi kabisa kusema kuwa atawavua magamba mapacha wa3
   
 4. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Bado, mpaka tarehe 10/07/2011! Kuwa mvumilivu!
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  hazijaisha baso siku kumi hadi julai 10 ndo zinatimia
   
 6. d

  dotto JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mkuu keshahararisha Symbion takeover ya Richmoduli na Dowans! So hawana kosa! Ni kamchezo fulani ambako hawa akina Nape, Mukama hawajakajua. Katawaletea shida maana mkuu hawajui anachowaza na rafiki yake byz2men. Nape aliingia kichwakichwa akifikiri kama jamaa huwa anamaanisha kumbe no! SAsa aumbuka!!
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Wanaogopa hilo SCUD lilotoka Nigeria, mimi mbavu sina majuha wanavyojikanyaga.
   
Loading...