Siku 200 za Lowassa UKAWA

Ni kweli kabisa. Ni chama kinachopokea majipu yanayokwepa kutumbuliwa na JPM
Chadema ni kama msikiti au kanisani waovu wanaotaka kubadilika wanakalibishwa majibu na mabusha sijui yabaki huko huko masaburini...
 


Chadema imekuwa imara sana, Lowasa amepiga kazi kwa muda mfupi lakini matokeo yake nadhani mnayaona. Hatakufa mpaka maono yatimie
 
Hakika Lowassa amekijenga sana CHADEMA na upinzani utazidi kuimarika ktk nchi yetu.

Pamoja na vitisho kandamizi kutoka kwa chama dola lakini watu watazidi kujitambua na kufahamu hhaki zao

Hongera sana Lowassa
 
Lowassa ndani ya siku 200 kasababisha Chadema ifute orodha ya Mafisadi Papa 11 (List of shame) kwenye Tovuti ya Chama iliyowekwa tangu 2007.
 
People do not know that politics has great impact in economic, social and all about
 
Wapinzani wamepoteza luu ya demokrasia ndani ya utawala wa JK. Kwa Pombe hakika wataufyata
 
Lowassa is finished.

Hata usanii wake kwa sasa ameshindwa kuuza kwa wananchi wengi pamoja na kubebwa na vyombo vingi vya habari nchini.
 
Ukitaka kujua nguvu ya ccm itisheni tisheni kama mlivyofanya uchaguzi uliopita harafu mwone watakachowafanya 2020 cdm badilini mbinu ccm ni kubwa na ina wanachama wa uhakika na watiifu wa chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…