Rudaguza01
Member
- Aug 11, 2017
- 92
- 37
- Thread starter
- #21
Shukrani mkuu.Anzisha username mpya, hii hata ukibadili bado watakutrace tu.
Shukrani mkuu.Anzisha username mpya, hii hata ukibadili bado watakutrace tu.
Yaleo siyo ya jana mkuu, na hatujui ya kesho itakuwajeMi nasepa na hili hadi TCRA, FBI NSA NIDA RITA CIA ALQAEDA ISIS UN, UNHCR, BOKOHARAM, etc wanijue
Yah mi nna ndoto ya kuwa km Donald Trump, so am cool with it [emoji23][emoji23]Yaleo siyo ya jana mkuu, na hatujui ya kesho itakuwaje
Yakupasa kuwa na roho ya paka kwa ukanda tuliomo.Yah mi nna ndoto ya kuwa km Donald Trump, so am cool with it [emoji23][emoji23]
Kwani zinampatia Mshahara jamaa?Follower 1, Likes 26, trophy 25 ukizipoteza sio mbaya sana mkuu
Kakataa kwenda shule, Esopo hahahah fyekaBadilisha na liwe Kalumakenge
vina faida gani??Follower 1, Likes 26, trophy 25 ukizipoteza sio mbaya sana mkuu
Hahhaahhaa.. AhsanteWakati unajiunga na hili jukwaa ulitakiwa kwanza ujue kinaga ubaga kuhusu humu kisha ndo uingie,
Na ukikubaliwa kubadirisha jina nakushauri jiite "JOGOO SHOGA*
Hahahaha ahh ni mwendo wa kufyekalea mbaliKakataa kwenda shule, Esopo hahahah fyeka
Serch id ya invisible then mfuate PMNdio mkuu
Shukran mkuu na kwa ushauri wa wote, nmefaniwa kubadilishiwa.Serch id ya invisible then mfuate PM
Hahahaa sawa Rudaguza01 karibu sanaShukran mkuu na kwa ushauri wa wote, nmefaniwa kubadilishiwa.