Rudaguza01
Member
- Aug 11, 2017
- 92
- 37
Habari wana jf. Kiukweli matumizi yangu ya jina halisi humu linaninyima haki na uhuru wa kutoa maoni yangu ktk kila thread kwakuwa kama ilivyo kuna thread nyngine inakuwa na hisia kali hivyo naomba nijuzwe namna ya kuweka jina la ajabu ajabu, mf kama kuku mtata, jogoo la shamba, mpumuaji n.k, bila shaka nmeeleweka karbuni kwa ushauri wa nini nifanye kupata kutumia majina hayo.
Kuniogesha matusi mnihurumie kwanza mnipe namna ya hiyo kwakuwa nimeandika ombi hili kwa dhati kabiisa.
Kuniogesha matusi mnihurumie kwanza mnipe namna ya hiyo kwakuwa nimeandika ombi hili kwa dhati kabiisa.