Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,094
- 15,223
Bila shaka, aidha hujasoma nilichoandika au una akili ndogo ya ku comprehend nilichoandika.Yupo wapi JPM yule raisi wa Tanzania aliyewahi kujifananisha na malaika?
Bila shaka, aidha hujasoma nilichoandika au una akili ndogo ya ku comprehend nilichoandika.Yupo wapi JPM yule raisi wa Tanzania aliyewahi kujifananisha na malaika?
Huzuni na hukumu yake bado?Watanzania tuna huzuni sana.
Kuna watu hapa Duniani Wanayo haki kuliko wengineNa ya Mdude?
View attachment 3349869
Ok nikipata net nzuri ntafunguaNew FREE TUNDU LISSU song.
Kama ndiyo matumaini ya Samia hayo; hayamsaidii kitu!Mpaka uchaguzi upite
"...uchaguzi wa kiulaini" wataupata wapi safari hii?Lissu ni tishio kwa wapinzania wake na hivyo ili wamalize uchaguzi kiulaini lazima lisu adhibitiwa na hiki ndicho kilichotokea
Katiba isiposema Kuna shida kwa hao wenye haki zaidi?Ndivyo Katiba inavyosema?🤔
Nakala Kwa Erythrocyte , aione kwenye jaladaHii nyimbo ipigwe kwenye mkutano wa CCM