Sikieni hoja za wazanzibar


Nataka kutapika hapa hao uliowataja wa 2 ni vibaraka wa ccm wachumia tumbo na sio waznz wewe njoo znz utajua kama watu wanataka huu muungano wenu fake?
 
Kelele za nini vunjeni basi sisi hatutaki kwanza huo so called muongano
Waambie UAMSHO, BAKAZA na Maridhiano waache mkataba wa muungao, wasiombe ulinzi na usalama kwanza.

Usihofu Tanganyika inarudi na hakuna wa kuizuia sasa, ipo siku utarudi hapa jamvini kwa machozi.
Kuna mwenako alisema Tanganyika mbaya juzi kajinyonga baada ya kuambiwa arudi kwao, husomi habari wewe?
 

Zanzibar itakuwa kama dubai why should I come there mafisadi majambazi wauza sembe
 
Nataka kutapika hapa hao uliowataja wa 2 ni vibaraka wa ccm wachumia tumbo na sio waznz wewe njoo znz utajua kama watu wanataka huu muungano wenu fake?
Wabunge wapo Dodoma! Makamu wa rais yupo magogoni, Vuai yupo mtaa wa Ohio na wengine wengi.

Sasa kama Moyo na Jusa ni vibaraka, vipi Maalim na Sheriff.

Nitajie baraza moja tu lililokataa muungano.
Halafu wzn wapi hawataki muungano ikiwa nusu yao wanaishi na kuhemea dhiki bara?
 
Mnawivu sana na znz na you can't do without znz huyo baba enu obama anasema msije kuiwacha znz lakini waznz watatumia skill na tactics zote mtakimbia wenyewe
Hatuna wivu wa biashara ya bangi inayofanywa na SMZ. Hatuna kabisa.

Waziri wa miundo mbinu keshaitetea sisi tunasema bendera yetu kufungia tani za bangi haifai!

Inachafua sura ya nchi na hata znz. Hivi OIC(Shirika la dini) wakisikia znz inafanya baiashara ya bangi watakuwa happy kweli,
 
Dawa ni Serikali Moja tu, manake hatari zaidi kwa usalama wa Tanzania ni pale Zanzibar ikiwa huru.

Wambie hao wa bara wezako hicho ndio mnacho kiogopa hata us wanaogopa hivyo lakini mtajitoa tu shule itatumika kupata ukombozi
 

Mkuu futa kauli yako sisi hatufanyi biashara ya bangi
 

Hao wote ni vibaraka wa ccm na wapemba wapo bara sio majambazi wanafanya biashara nyinyi mpo znz hamna kazi yenu niwizi na ujambazi tu
 

Mkuu mimi nimefanya kazi nikiwa frontline kwenye kwahao vibaraka sawa najua kila kitu usitake tuongee sana
 

kwa hiyo msimamo wako ni upi gamba we? Serikali 2 au 3?
 
Last edited by a moderator:
wazanziabari wanaokufa Dafur DRC wale ni nani SMZ au JMT wacheni upumabvu
kama wenzenu wamekuzidini kete mlie tu

nimeipenda hii! Si wairuhusu uamsho. Kikwete huyu huyu kafunga hadi mabilioni yao
 

nadhani ume eleimika vya kutosha
 
Huwa ninajiuliza sana lakini sipati majibu hivi kati ya Tanganyika na Zanzibar ni nani huwa anang'ang'ania huu muungano.
 
hii inaonyesha kuna ombwe kubwa sana la ulinzi hususani wa dola la Tanzania,maana kwa mianya hii ya rushwa za wazi,watuwasiopenda utulivi wa taifa letu ni laisi sana kupitisha silaha zao
Mungu ibaliki Tanzania
 

Tunataka nchi yetu na mamlaka yetu wa tanganyika tuwe kama majirani tu katiba yetu na nyinyi mje znz na passport na muombe visa
 
Huwa ninajiuliza sana lakini sipati majibu hivi kati ya Tanganyika na Zanzibar ni nani huwa anang'ang'ania huu muungano.
Ritz ni wao. Kwa miaka mingi wamelalamika sana nafasi imetolewa hawataki kuitumia.
1. Wabunge wao wapo Dodoma, wale wa kuchaguliwa na wananchi na wale wa BLW
2. Wajumbe wao wa tume wapo katika tume ya Warioba hakuna aliyejitoa au kupendekeza muungano uvunjwe
3. BAKAZA imesema inataka bunge la katiba liwe na uataratibu tofauti, hawakusema hawataki muungano
4. Kamati ya maridhiano imesema inataka Pasport za Tanzania-Tanaganayika na Tanzania-Zanzi hawajasema hawataki muungano
5. Mansour, Jusa, Moyo, Karume, Seif wote wanataka muungano lakini wa mkataba hawajasema wanataka kuondoka
6. Wzn walioko bara hawajasema wanaacha afasi zao za uongozi ndani ya JMT ili kurudi kwao, wapo
7. Hakuna mzn katika mabaraza ya awali na ya kata aliyeahi kusimama na kusema hataki muungano.
8. Makamu wa rais ni mznz kwa uzanzibar na si kwa sifa, hawajamrudisha ili kupinga ushiriki ndani ya muungano
9. Wanatumia mafao kama ya ada za IMO kwa kazi zao za mizigo ya mihadarati, hawajalipa kwa mapato yao
10.Wanataka mkataba wa muungano hawakatai kuwa hataki muungano
11. Wanataka ulinzi na usalama, sijui kuna ulinzi wa kuomba kwa jirani bila muungano.
12. Wana wawakilishi katika kila chombo cha muungano ikiwemo NECTA wasioitaka wala kuitambua, hawalalamiki

n.k n.k
 
Last edited by a moderator:
Tunataka nchi yetu na mamlaka yetu wa tanganyika tuwe kama majirani tu katiba yetu na nyinyi mje znz na passport na muombe visa
Ulinzi na usalama pia. Mkatae muungano wa mkataba au serikali 3. Mkishindwa hayo mtakuwa chini ya JMT mtakae msitake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…