Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..
Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.
Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...
Naomba ushauri niende au nikaushe