min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 62,119
- 179,941
- Thread starter
- #41
Tuepuke tu wanawake wenye mawazo ya kimaskini, aseeee aseee natumia akili yangu yote kwa nini niwe na mwanamke ombaomba 🤔Mkinichagua mimi kama mwenyekiti wa Chama cha Wanaume Rijali(CHAWARI),
Nitahakikisha napitisha sheria inayomlazimu kila mwanamke mwenye utimamu, afya njema, miguu na mikono miwili kuambatanisha barua ya maelezo yenye sababu za kukosa hela mpaka amuombe mwanaume.
Aidha, nitaondoa kifungu no. 154 cha sheria ya mapenzi, kinacholazimu wanaume kutoa pesa ila wapate penzi, wakati penzi hilo hutoa msisimko kwa pande zote mbili.
Mnyonge mnyongeni, pesa yake muachieni!
Asiye kuwa na mtazamo wa mbele