min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 62,119
- 179,941
- Thread starter
- #21
Jf nilijiachia snaa ,😅 najivunia vijana nane nimewapa ajira za kudumu huko moro, ila kwa sasa acha nilewe tu😅 , tunaitafuta krismasi Bwashee 🤣🤣🤣🤣Mara moja moja onesha upendo hata random tu bwashee.
Wengine wana maisha magumu sana unaweza kufanya kama sadaka hata usiwatake kimapenzi uwasaidie kwa roho nzuri tu.
Unaweza kuona mtu anadanga kumbe kweli ana njaa hana hela ya kula.
Wakagi wewe tatizo lako una chakula kingi zana unajizuia kula.