Siku ya kwanza mnajuana unaombwa iPhone.Kijana usikubali kuombwa pesa na mwanamke ambaye hana kazi yoyote ya kumuingizia hata 5000 kwa siku🤔
Hawa ni ruba wabaya ,ambao kibumbu chao ni ofisi zao , utakuja lia mno na kulaumu dunia 🤣🤣
Labda kama unataka kuichapa na kusepa tu🤔
Huyu ni wa kumuelekezea Lodge iliyokua karibu na kwenda kumgonga ukimaliza unampa hio 5000 akaendelee kumlea mtoto alieachiwa na Bwana wake wa zamani, full stop.mwanamke ambaye hana kazi yoyote ya kumuingizia hata 5000 kwa siku🤔
Hawa ni ruba wabaya ,ambao kibumbu chao ni ofisi zao , utakuja lia mno na kulaumu dunia 🤣🤣
Na wewe akiomba iPhone 18 unaomba mbele akiongeza mahitaji akataka kodi ya nyumba sijui baba mwenye nyumba anasumbua na wewe pandadau omba akupe nyuma, atajifunza mwenyewe kutokana na tabia yake. Hakimbii mtu mwendo ni ule ule Quid-Pro-Quo. Ishi humo.Siku ya kwanza mnajuana unaombwa iPhone.
Siku ya pili unaombwa kodi ya nyumba.
Kimbiaaa.
Nyuma ni wapi acha hizo pigo za kiwakiNa wewe akiomba iPhone 18 unaomba mbele akiongeza mahitaji akataka kodi ya nyumba sijui baba mwenye nyumba anasumbua na wewe pandadau omba akupe nyuma, atajifunza mwenyewe kutokana na tabia yake.
Wewe wanakuona hujafika matawi ya iPhone na kodi ya nyumba bwashee 😂😂😂Mimi hata 2500 kwa mwanzoni ni red flag napiga😅😅😅
Backdoor hupajui mkuu? Kwani si yeye kaomba na wewe kwanini usimuombe akinyima na wewe unanyima tu, huo ni mtihani asiporuka hapo akasema "ooh mimi nyuma sikupi" na wewe unakua umesave kibunda.Nyuma ni wapi acha hizo pigo za kiwaki
😆😆😆😆 , wanaona wanadai wewe mangi ni mbahili mno 😅😅 Halafu mimi nafurahia kuwanyima hela na wanaona ninayo kwa kiasi fulani cha kumudu hivyo vikorokoro vyao kama iPhone 😅😅😅😅Wewe wanakuona hujafika matawi ya iPhone na kodi ya nyumba bwashee 😂😂😂
Unamsalimia mtu tu hapo hapo ana njaa hana nauli ya kurudi kwao.
Anataka 50,000 ya kula.
I'm like "You can't even think big, you are insulting me with these petty cash asks"
Kuna manzi yeye alikua hataki mambo makubwa alikua anapenda nimnunulie Red Bull tu yaan nikimnunulia Red Bull kadhaa nikaenda kumpa baada ya kunywa anakua kalowana chupi yote, baada ya hapo ni mwendo wa mgongo mgongo tu inama inuka humu tuWewe wanakuona hujafika matawi ya iPhone na kodi ya nyumba bwashee 😂😂😂
Unamsalimia mtu tu hapo hapo ana njaa hana nauli ya kurudi kwao.
Anataka 50,000 ya kula.
I'm like "You can't even think big, you are insulting me with these petty cash asks"
Jukius Caesar kabla hajawa mfalme, alitekwa na maharamia baharini.
Sasa wale maharamia wakawa wanataka walipwe oesa ili wamuavhie huru. Wakataja pesa fulani.
Julkus Caesar alikasirika sana kwa kuwa wamemtajia oesa ndogo. Kwamba maharamia wamemdogosha thamani yake kwa kutaka ransom ndogo.
Sasa na mimi wakiniomba pesa ndogo nakasirika kama Julius Caesar 😂😂
Mara moja moja onesha upendo hata random tu bwashee.😆😆😆😆 , wanaona wanadai wewe mangi ni mbahili mno 😅😅 Halafu mimi nafurahia kuwanyima hela na wanaona ninayo kwa kiasi fulani cha kumudu hivyo vikorokoro vyao kama iPhone 😅😅😅😅