Sijui utarudi lini kaka

Pole mkuu mshukuru Mungu tu kila mtu hupewa changamoto inayo endana nae
 
nashangaa kwanini bongo movie wanakosa story wakati kuna majamaa kama hawa ni watunzi wazuri mno wa simulizi aiseeee
 
Asante kwa ushauri ,ila kuikwel nitawalea hawa watoto mpk watimize ndoto zao ,kaka akusafiri kwa nia mbaya Bali kwa mambo ya kutafuta maishaa mkuu ,ndipo hakuweza tena kurudi akiwa mzima
Mkuu ni kukubali tu kwamba yametokea, angalia sasa mustakabali wako na hao vijana ulioachiwa na kaka yako.
 
Dah! Hadi nimetokwa na machozi, Mkuu pole sana kwa majanga na kaa ukielewa hayo ndo maisha. Mtegemee Mungu kwa kila jambo.
 
hadithi haina uhalisia, kaka ambaye ana mke anayefanya kazi ya umeneja bank na alikua na kipato cha kutosha hadi kuwafungulia wanae akaunti za kusoma alikua hana mawasiliano na familia yake akiwa nje ya nchi?? matukio mengi ya kuathiri familia yake yanatokea ikashindikana kumpa taarifa???
kwa ulimwengu huu wa leo ambao mawasiliano yamerahisishwa hivi?

I DON'T BUY IT
 
nashangaa kwanini bongo movie wanakosa story wakati kuna majamaa kama hawa ni watunzi wazuri mno wa simulizi aiseeee
N mtazamo wako kuwa n hadithi mkuu ukweli naujuaa mm mwenyewe na mungu wangu
 
Si ungeuliza mtakutana lini ? yeye hawezi rudi ametangulia mbele ya khaki.
 
Mkuu ww kufanya kazi bank au mkeo kufanya kazi hyo inamaana umeridhika na maisha uwezi tena kufanya chcht ktk maisha ?
 
Mkuu ww kufanya kazi bank au mkeo kufanya kazi hyo inamaana umeridhika na maisha uwezi tena kufanya chcht ktk maisha ?
no, nilichoshangaa ni kuwa miaka yote hiyo mkewe alikua anafanya vioja yeye hakupata taarifa ikibidi asafiri kurudi?, wakati mawasiliano yamerahisishwa sana siku hizi?
 
no, nilichoshangaa ni kuwa miaka yote hiyo mkewe alikua anafanya vioja yeye hakupata taarifa ikibidi asafiri kurudi?, wakati mawasiliano yamerahisishwa sana siku hizi?
Mkuu unaweza mkawa na mawasiliano lkn yasisaidie coz nilikuwa namwambia bro Mara moja moja kuwa wife wake kabadilika hvyo akionge na mke wake mke wake anamwambia c kweli na mwishoe mke wke anakuja kunipigia mm kelele km namfatilia maisha yake ikabid mm niondoke pale kwa bro nakwenda kupanga bila kumwambia bro huko alipo,na ninakumbuka cku namuaga shemeji kuwa naenda kupanga jibu alilonijibu alisema AFADHALI JIONDOKE MAANA UNANINYIMA UHURU,nilirudi pale baadae sana ndipo ninapoishi na wtt mpk now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…