Daa hapana aisee coz hata huku kutakuwa na watu wanaomfahamu isije anzisha mezozo kwa ndugu wa shemeji yangu marehemu pindi watakapoona hyo picha ,coz nao waliwakata watoto nakusema hawataki kukaa nao
Huyo kaka yako naye alikuwa chizi tu kama wewe unakwenda ng'ambo mke unamuacha, kwahiyo ulitegemea huyo mke akae tu bila kupigwa kitu kwa miaka yote ambayo huyo kaka yako alitazamia kukaa huko majuu.
Huyo kaka yako naye alikuwa chizi tu kama wewe unakwenda ng'ambo mke unamuacha, kwahiyo ulitegemea huyo mke akae tu bila kupigwa kitu kwa miaka yote ambayo huyo kaka yako alitazamia kukaa huko majuu.
Daa kiukweli mkuu kuona nimepatanga mpk huyu mtt mkubwa amalize 4m4 na huyu mwingine atakuwa naye kamaliza shule ya msingi swala LA kuoa kwa ss halipo nipo kuwasaidia kwanza hawa watt kama baba yao alivyojitolea nami kunisaidia naaamin mungu atanishika mkoni
Mwanaume anamuacha mkewe miaka minne eti anaenda kutafuta maisha! Si angeenda na familia yake tu? Halafu umesema shemeji yako alikufa kwa ukimwi, vipi kaka yako yeye nini kilimsababishia kifo?