Sijui utarudi lini kaka

Amen,na naninaamini kupitie mungu ,ubarikiwe kwa ushauri wako
 
Pole sana mkuu kwa mitihani yote hiyo, Mungu akusimamie na kuwalinda watoto muweze kufikia malengo yenu
 
Kwa kuwa baba Yao Ni wewe, wao sio yatima Kwa maana utawalea Kwa mapenzi yote....!
 
Kwa kuwa baba Yao Ni wewe, wao sio yatima Kwa maana utawalea Kwa mapenzi yote....!
Hakika ndicho ninachokifanya ili waone mm ndio baba yao na wasione pengo LA wazazi wao lipo wapii ,japo litakuwepo
 
Dah inasikitisha sana Mungu aendelee kuwa na wewe InshaAllah
 
Pole sana hatujui kesho . Mungu akujalie afya njema na uwezo wankuendelea kuwalea watoto
 
Mmmmmhh pole yote yanawezekana mungu yupo nawe
 
pole sana asee mungu akupe juhud na maarifa kuwaendlza hao watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…