Sijui tunaelekea wapi asee!

Sijui tunaelekea wapi asee!

FundiNgoma

Senior Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
138
Reaction score
282
Nyakati hizi demu anakwambia eti "me sijiuzi ila kama hunipi hela nakupaje penzi sasa?

That means bila kumpa hela mapenzi hayapo kabisa alafu demu huyo huyo anakwambia hajiuzi. Sasa unajiuliza kuna tofauti gani na kununua malaya sehemu zingine

Na hawa ndiyo tunawategemea wawe mama wa watoto wetu na bibi wa wajukuu zetu inahuzunisha kwakweli.
 
Unamwomba Penzi ili iweje?
 
Ondoa neno penzi weka kum..a, mapenzi hakuna wanauza k.
 
Back
Top Bottom