Huyo dawa yake ndogo sana, Nitakachokifanya kuna mawili anayoweza kuyafanya: aidha atafungasha virago na kuhama yeye na familia yake usiku kwa usiku na kuiacha nyumba tupu au atahamia kituo chochote cha polisi kilicho karibu akihofia maisha yake na kwake hataishi. Mark my words!Nimeipenda iyo ila usisahau kuwa linaweza kuwa fupa lililomshinda fisi, paka wa mama ataliweza?
Wana JF habar zenu.
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tulihamia kwenye nyumba yetu hapa Dar.
Jirani yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu ambao yeye hawapend hatak tuongee nao.
Siku zinavyozidi kwenda tunatokea kuwazoea majirani wengine zaidi yake, kitendo hicho kimemuudhi na amegeuka adui yetu balaa, amewekea sumu mifugo yetu kuku na paka tuliye kuwa tunafuga wamekufa.
Kuna siku alikuja na mganga kwake tukashangaa kuku wetu mweusi haonekani na manyoya yapo shimon pake, bata wetu wakipita uwanjani kwake anawakata miguu.
Yaani tunaimbiwa taarab kila siku,alishawah kumvuta mdogo wangu kwake na kumng'ata begani mpaka tukampeleka hospital.
Akifagia kwake uchafu anatupa upande wetu coz sisi tupo chin yake kidogo,tumemripot police na kwa balozi mara kadhaa ila hatuoni hatua zozote zikichukuliwa,na hii inatuogopesha sababu anatumia had watoto wake kuwaumiza wadogo zangu na kutuibia mifugo yetu maskin tumepaki na vifaranga tu.
Naombeni ushauri.
Sikusoma vizur mkuu kumbe na wadogo zake wamebakwa. Sasa anangoja nn hajui kosa la ubakaji ni kosa la jinaimtoa mada we ni boya na mkatili sana. mmdogo wako ameng'atwa na aliyemng'ata umemuacha mtaani? ukishindwa kuanzisha timbwili nenda polisi mje na difenda uzoe hadi watoto wake wanaobaka wadogo zako. huwatendei haki wadogo zako.
Hahahahahahah!! Mbavu zanguJirani wa namna hio ni kumptupia jini mahaba tu.
Andaa mikwanja nikurushi kwa simu..
Hata kuwa na muda na wewe tena.
Manake ndombolo ya solo 24/7.
Unamuacha akuimbie na taarabu?
Teh teh teh.
Au huyo Matola nini?
Manake hizo ndio tabia zake huyo mtoto.
Huyo ni wa kumtengua kiuno