mbona kama sielewi!!?Kama mnafuga mbwa basi atakuwa ana hamu ya kutoa-mbwa bandani mruhusu.
Wana JF habar zenu.
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tulihamia kwenye nyumba yetu hapa Dar.
Jirani yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu ambao yeye hawapend hatak tuongee nao.
Siku zinavyozidi kwenda tunatokea kuwazoea majirani wengine zaidi yake, kitendo hicho kimemuudhi na amegeuka adui yetu balaa, amewekea sumu mifugo yetu kuku na paka tuliye kuwa tunafuga wamekufa.
Kuna siku alikuja na mganga kwake tukashangaa kuku wetu mweusi haonekani na manyoya yapo shimon pake, bata wetu wakipita uwanjani kwake anawakata miguu.
Yaani tunaimbiwa taarab kila siku,alishawah kumvuta mdogo wangu kwake na kumng'ata begani mpaka tukampeleka hospital.
Akifagia kwake uchafu anatupa upande wetu coz sisi tupo chin yake kidogo,tumemripot police na kwa balozi mara kadhaa ila hatuoni hatua zozote zikichukuliwa,na hii inatuogopesha sababu anatumia had watoto wake kuwaumiza wadogo zangu na kutuibia mifugo yetu maskin tumebaki na vifaranga tu
Naombeni ushauri.
jenga uzio mkubwa kama ukuta wa keko atanyooka tuWewe ni kibonde kiasi hicho? Una moyo mkubwa kama wa tembo yote hayo umefanyiwa ukayavumilia? Grow up! be a man kabla hajakudhalilisha siku moja atakukata vibao mbele ya mkeo na watoto wako!
huyu mdau anazingua fensi bila nyumba haiwezi itwa fense bali ni uwanja uliozungushiwa Ukuta!Huna nyumba ila una fence kwani umegeuka mfugo?
Mkuu hata me sielewi huyu kijana anavyo weweseka.mbona kama sielewi!!?
Soma vizur nilichoandika nduguAtakuwa ni mchawi huyo jirani hivyo amegundua kuwa wewe na familia yako kuwa ni wachawi. Anachojifanya saizi ni kutaka kujua nani zaidi kati ya wewe na yeye ndo mana ameanza na hao paka wako wa kuchawi. Anapowakata miguu anataka aone kama utawapachikia miguu ya bondia ya kichawi. Kwani wewe paka wote hao tena weusi ni wa nini?
Kila mtu ana uhuru wa kuongea na amtakae. Jirani kama huyo anakuwa na chuki binafsi tu, Kaa nae mbali.Kwa nin mlianza kuongea na watu ambao yeye hawapendi.kumbe mlitaka wenyewe mana mlikiuka masharti
Jirani kama huyo dawa yake ni ndogo tu. Kanunue Panga halafu subiri akiwa nje amekaa. Toka nje na Panga lako halafu linowe makali huku unamuangalia machoni. Usisahau mrejeshoWana JF habar zenu.
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tulihamia kwenye nyumba yetu hapa Dar.
Jirani yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu ambao yeye hawapend hatak tuongee nao.
Siku zinavyozidi kwenda tunatokea kuwazoea majirani wengine zaidi yake, kitendo hicho kimemuudhi na amegeuka adui yetu balaa, amewekea sumu mifugo yetu kuku na paka tuliye kuwa tunafuga wamekufa.
Kuna siku alikuja na mganga kwake tukashangaa kuku wetu mweusi haonekani na manyoya yapo shimon pake, bata wetu wakipita uwanjani kwake anawakata miguu.
Yaani tunaimbiwa taarab kila siku,alishawah kumvuta mdogo wangu kwake na kumng'ata begani mpaka tukampeleka hospital.
Akifagia kwake uchafu anatupa upande wetu coz sisi tupo chin yake kidogo,tumemripot police na kwa balozi mara kadhaa ila hatuoni hatua zozote zikichukuliwa,na hii inatuogopesha sababu anatumia had watoto wake kuwaumiza wadogo zangu na kutuibia mifugo yetu maskin tumepaki na vifaranga tu.
Naombeni ushauri.
Nimeipenda iyo ila usisahau kuwa linaweza kuwa fupa lililomshinda fisi, paka wa mama ataliweza?Huyo hajakutana na walimwengu kama mimi. Ningeomba kuununua huo ugomvi ila kwa sasa niko busy.