Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,731
pigeni ukuta. Poleni sana...
Wewe kwa nn ulianza kuongea na maadui zake? Mtu akiwa rafiki wa adui yako inamaana na yeye ni adui yako pia , ndio principles zisemavyo..
Ila kwa ushauri tu ungeweka fence kubwa ya kutosha na kila mtu aendelee na maisha yake , mimi sijui watu mnaishije bila fence. Mm kwa maisha niliyokulia mpaka sasa , ni bora nikawa na fence ila nyumba ikawa ya namna yoyote , au nikawa sina nyumba ila nikawa na fence...
hahaaaa fursaaaaaMwaka wa tano huu natafuta kazi, hebu andaa mkwanja nije nikuondolee kero hapo
Utawezaje kuishi unaongea na mtu mmoja mtaani, coz yeye amegombana na karibia majiran wote, na ss ndo tunapakana nae kabisa,pia sisi hatujui ugomvi wao umeanzia wap, utaanzaje kuacha kuongea na mtu kwa sababu ya ugomvi usikuhusu na wala hauujui??
Yani nikifika tu, kesho yake msiba nyumba ya jirani me sitaki ubabe nyumbani kwangu labda iwe ya kupanga, hivi huna mume Dada? Huwezi kuishi maisha ya shule tena vidudu wakati upo kwakohahaaaa fursaaaaa
Jirani wa namna hio ni kumtupia jini mahaba tu.Wana JF habar zenu.
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tulihamia kwenye nyumba yetu hapa Dar.
Jirani yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu ambao yeye hawapend hatak tuongee nao.
Siku zinavyozidi kwenda tunatokea kuwazoea majirani wengine zaidi yake, kitendo hicho kimemuudhi na amegeuka adui yetu balaa, amewekea sumu mifugo yetu kuku na paka tuliye kuwa tunafuga wamekufa.
Kuna siku alikuja na mganga kwake tukashangaa kuku wetu mweusi haonekani na manyoya yapo shimon pake, bata wetu wakipita uwanjani kwake anawakata miguu.
Yaani tunaimbiwa taarab kila siku,alishawah kumvuta mdogo wangu kwake na kumng'ata begani mpaka tukampeleka hospital.
Akifagia kwake uchafu anatupa upande wetu coz sisi tupo chin yake kidogo,tumemripot police na kwa balozi mara kadhaa ila hatuoni hatua zozote zikichukuliwa,na hii inatuogopesha sababu anatumia had watoto wake kuwaumiza wadogo zangu na kutuibia mifugo yetu maskin tumepaki na vifaranga tu.
Naombeni ushauri.