pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
- Thread starter
- #21
Tulia hivyohivyo utamu utauona
zinakoelekea sio ingawa ni zake ndo zinaingia lakini huyo wanaechat naye na assume anampa maneno si haba.
Tulia hivyohivyo utamu utauona
Na wewe uwe unatuma za mchepuko wako kwake ili mrushane roho vizuri.
Hahaa!! pole ndugu,nahisi roho yako hapo ilipo ina majeraha ya kutosha!!
Kama unaweza kustahimili maumivu..acha na utafute mdogo mdogo kwenye sim yake huwa zinaendaga wap!!bt kama hutaki maumivu mstue haraka
Duuu!lazima upanic bt usije dondoka pressure maana bora kuhis kuliko live..live inaumaga mnoo..ulete mrejesho ukishagundua ni nani anamtumiaga...sasa kuna wale wataalam wa kufuta smsnimeshapanga nikitoka job nikatumie staili ya Jacky chan kumpoka cm hawezi kunifanyia hivi.