Sijui nifanyaje mimi...

Sijui nifanyaje mimi...

kuna mambo unasoma unajenga picha kichwani aliye yazungumza ana akili gani unaishia kucheka.

ukisoma michango ya wadau unacheka zaidi maana wana tema cheche hatari ila mtoa mada anajibu fresh tu
Ukiwa na shida lazima uwe mpole tu
 
Utoto kama huu ndo unafanya siku hizi jf pamekuwa kama fb, wajhisika hamzuioni hizi kweli maana mtutu anakuja kupost utoto wake halafu anaachwa tu ili aendeleze utoto wake, SAWA HIYO CHAI YAKO UMEWEKA CHUMVI BADALA YA SUKARI!
Utoto gani tena jamani? Kama huna cha kuchangia si unakausha tu,kwahiyo kuomba USHAURI Ni jambo la kitoto?
 
Back
Top Bottom