Sijui nifanyaje mimi...

Sijui nifanyaje mimi...

Aiseee nimesoma kama mara tan hivi lakini bado naona kama sielewi

Anyway kwa sababu ya huruma na kama mke wako mtarajiwa amepata nguvu na ujasiri wa kukueleza hayo uliyotueleza hapa

basi mimi nashauri muoeni tu wote awe mke wa wanaume wawili,ili mmoja anendelee kufaidi huruma zenu na watoto awazalie wote wawili,itapendeza Zaidi

ila ni huzuni kwa kweli dah,never seen this before 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
Duniani pana mengi
 
UTAKUWA UMERUDI Siku sio nyingi kutoka china,,,,,USHACHOKOLEWA.
 
Habari za sasa wakuu,mpaka naandika uzi huu nipo njia panda sijui nielekee wapi? Sijui nifanyaje mimi!?

Ni muda sasa tangu mpenzi wangu aanze kulalamika anasumbuliwa na jamaa mmoja hivi(ambayo Ni kilema)

Sasa anasema anamuonea huruma kwahiyo anataka amkubalie dah sasa mimi sielewi nifanyaje Mana nimeshikwa na roho ya huruma Ila kwa upande mwingine naona siwezi kukubaliana na hilo swala,,,
USHAURI WENU WAKUU
NAWASILISHA
mqaxy
Utoto kama huu ndo unafanya siku hizi jf pamekuwa kama fb, wajhisika hamzuioni hizi kweli maana mtutu anakuja kupost utoto wake halafu anaachwa tu ili aendeleze utoto wake, SAWA HIYO CHAI YAKO UMEWEKA CHUMVI BADALA YA SUKARI!!!
 
kuna mambo unasoma unajenga picha kichwani aliye yazungumza ana akili gani unaishia kucheka.

ukisoma michango ya wadau unacheka zaidi maana wana tema cheche hatari ila mtoa mada anajibu fresh tu
 
kuna mambo unasoma unajenga picha kichwani aliye yazungumza ana akili gani unaishia kucheka.

ukisoma michango ya wadau unacheka zaidi maana wana tema cheche hatari ila mtoa mada anajibu fresh tu
Jamaa yupo simple tu
 
Kwa kifupi ni kwamba huyo mpenzi wako hakupendi wewe anampenda huyo mlemavu.
 
Back
Top Bottom