Sijui nifanyaje mimi...

Sijui nifanyaje mimi...

Aiseee nimesoma kama mara tan hivi lakini bado naona kama sielewi

Anyway kwa sababu ya huruma na kama mke wako mtarajiwa amepata nguvu na ujasiri wa kukueleza hayo uliyotueleza hapa

basi mimi nashauri muoeni tu wote awe mke wa wanaume wawili,ili mmoja anendelee kufaidi huruma zenu na watoto awazalie wote wawili,itapendeza Zaidi

ila ni huzuni kwa kweli dah,never seen this before 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Habari za sasa wakuu,mpaka naandika uzi huu nipo njia panda sijui nielekee wapi? Sijui nifanyaje mimi!?

Ni muda sasa tangu mpenzi wangu aanze kulalamika anasumbuliwa na jamaa mmoja hivi(ambayo Ni kilema)

Sasa anasema anamuonea huruma kwahiyo anataka amkubalie dah sasa mimi sielewi nifanyaje Mana nimeshikwa na roho ya huruma Ila kwa upande mwingine naona siwezi kukubaliana na hilo swala,,,
USHAURI WENU WAKUU
NAWASILISHA
mqaxy

Kilema wa viungo vingine sio mpini
 
Hivi hii ni Jf kweli ndugu zangu?
 
Kwa sasa una miaka mingapi chief, sema chap-chap kabla sijatoa ushauri.
 
😂😂😂😂😂😂😂mwache kilema ajidai Mkuu haina makombo hiyooo, by the way ni kilema kipi hicho Mkuu? Asije akawa ana kilema cha dushe 🤣🤣🤣🤣👏🏾
Habari za sasa wakuu,mpaka naandika uzi huu nipo njia panda sijui nielekee wapi? Sijui nifanyaje mimi!?

Ni muda sasa tangu mpenzi wangu aanze kulalamika anasumbuliwa na jamaa mmoja hivi(ambayo Ni kilema)

Sasa anasema anamuonea huruma kwahiyo anataka amkubalie dah sasa mimi sielewi nifanyaje Mana nimeshikwa na roho ya huruma Ila kwa upande mwingine naona siwezi kukubaliana na hilo swala,,,
USHAURI WENU WAKUU
NAWASILISHA
mqaxy
 
😂😂😂😂😂😂😂mwache kilema ajidai Mkuu haina makombo hiyooo, by the way ni kilema kipi hicho Mkuu? Asije akawa ana kilema cha dushe 🤣🤣🤣🤣👏🏾
Kilema tu wa viungo
 
Back
Top Bottom