Sijui nifanyaje mimi...

Sijui nifanyaje mimi...

kuna mambo unasoma unajenga picha kichwani aliye yazungumza ana akili gani unaishia kucheka.

ukisoma michango ya wadau unacheka zaidi maana wana tema cheche hatari ila mtoa mada anajibu fresh tu
Hahaha jamaa kazingua sana na raia wameamua kwenda naye sawa
 
Mwambie ampe tu,siku hz karibia kila alieoa anagongewa na watu maisha yanaendelea tu,kwahyo sio tatzo
 
Mapenzi ya siku hizi ya mambo sana. Lol.

Muwekeane mipaka ya vitu vya kukuhadithia mana kwa ujinga kama huo inaonyesha kabisa hamuheshimiani.

Sababu yeye ndio wa kufanya maamuzi sasa kukushirikisha ni jambo ambalo kwangu naliona haliko sawa sababu kwa akili ya haraka haraka anataka umshauri kitu gani hapo.
 
kuna mambo unasoma unajenga picha kichwani aliye yazungumza ana akili gani unaishia kucheka.

ukisoma michango ya wadau unacheka zaidi maana wana tema cheche hatari ila mtoa mada anajibu fresh tu
😁😁😁 Cha ajabu huyu muhuni anasoma udaktari af nyuzi zake ndio hizi
 
Duh mpaka nashindwa cha kukomenti wakulungwa kweli idadi ya wanaume duniani imezidi kupungua hivi unawezaje kuwa na mwanamke wa aina iyoo anakueleza useng* na unamsikiliza tena kuja kuandika upumbavu kama huu nina wasi was utakuwa unasumbuliwa na pneumonia wakakupime aisee
 
'
IMG-20210130-WA0016.jpg
 
Mwambie demu wako na mimi nahitaji huruma yake maana na mie ni "kirema"
 
Back
Top Bottom