Watoto watatu ni wengi sana na ni vigumu kumpata mwanamke anayeweza kuwalea hao watoto wako watatu.
Hasa ukiangalia mioyo ya wanawake wetu hawa.
never never,
worse enough hajawahi hata siku moja kunieleza kua simridhishi haja zake, Kazi nilipiga vizuri hilo hata yeye alikiri.
Mbaya zaidi kiongozi, wakati wa purukushani hii, huyu wife alishawahi kuwakimbia hawa watoto sio chini ya mara tatu. alidiriki kuondoka nyumbani zaidi ya siku sita, hiki hasa ndo kilichonifanya nisiwaze hata mara moja kumwambia aondoke kwangu. haikua rahisi na ni mengi sana nimeyaona sijayaweka hapa. najuta kumfahamu huyu mwanamke
hili la DNA mnataka jamaa afe haraka aisee
Mbaya zaidi kiongozi, wakati wa purukushani hii, huyu wife alishawahi kuwakimbia hawa watoto sio chini ya mara tatu. alidiriki kuondoka nyumbani zaidi ya siku sita, hiki hasa ndo kilichonifanya nisiwaze hata mara moja kumwambia aondoke kwangu. haikua rahisi na ni mengi sana nimeyaona sijayaweka hapa. najuta kumfahamu huyu mwanamke
Kosa tunalofanya wanaume ni kuwafukuza wake pindi tunapo tofautiana. Ushauri wangu wangu endapo umetofautiana na mwenz na unaona hamtoweza kuishi pamoja na tayari mna watoto ni bora mwanaume uondoke wewe utafute sehemu ya kujihifadhi na kutengeneza maisha huku watoto wako wakiendelea kuishi na mama yao kwenye nyumba yenu huku ukiwatembelea na kutoa msaada wa matumzo kwa watoto wako. Tatizo sisi watz tupo selfish na kwa staili hii watoto wa mtaani hawataisha katika jamii zetu ...
mkuu lengo hapa sio kujua watoto ni wangu au lah, ninachoamini mimi nikua hawa watoto wamezaliwa ndani ya nyumba yangu, nimewalea kwa gharama zangu, and thanks god they are very happy. hata kama nilidanganywa nakuhakikishia hakuna baba mbadala wa hawa watoto. kwahiyo issue ya kwenda kucheki DNA kwangu haitanisaidia kwani kwa vyovyote vile mi ndio nitabaki mlezi wa hawa watoto.mkuu unahakika watoto wote ni wako??
mkuu lengo hapa sio kujua watoto ni wangu au lah, ninachoamini mimi nikua hawa watoto wamezaliwa ndani ya nyumba yangu, nimewalea kwa gharama zangu, and thanks god they are very happy. hata kama nilidanganywa nakuhakikishia hakuna baba mbadala wa hawa watoto. kwahiyo issue ya kwenda kucheki DNA kwangu haitanisaidia kwani kwa vyovyote vile mi ndio nitabaki mlezi wa hawa watoto.
Mbaya zaidi kiongozi, wakati wa purukushani hii, huyu wife alishawahi kuwakimbia hawa watoto sio chini ya mara tatu. alidiriki kuondoka nyumbani zaidi ya siku sita, hiki hasa ndo kilichonifanya nisiwaze hata mara moja kumwambia aondoke kwangu. haikua rahisi na ni mengi sana nimeyaona sijayaweka hapa. najuta kumfahamu huyu mwanamke
Wanajamvi, natumaini muwazima wa Afya,
Nimeona nije kwenu walau mujue yanayonisibu, sio kitu kipya hapana, ila kimeniweka kwenye mazingira magumu sana, japo najitahidi kufanya kila linalowezekana walau upepo huu upite.
kifupi ni hivi Mama wa Watoto wangu (Mke) nimeamua kumrudisha kwao baada ya kugundua hakua mwaminifu kwangu ie niligundua anamahusiano ya Kimapenzi na Watu wengine Nje ya Ndoa, nilifanya uchunguzi wa kina nakugundua uchafu huo, baada ya mikimiki ya hapa na pale alikiri mbele ya wazazi wake kua yote niliyowaeleza ni ukweli mtupu. baada ya mashauriano ya muda mrefu nilifikia uamuzi wa yeye aondoke kwangu. hili halikua gumu sana kuamua kwa kila kitu kilikua wazi
So issue yangu kubwa ni nini nifanye baada ya hapa, ukizingatia yafuatayo:
1. tuna watoto watatu , mdogo kabisa ana miezi 9
2. hawa watoto nawapenda sana na mpaka sasa naishi nao
3.mimi mwenyewe umri umekimbia am 35 yrs now
4. mama watoto kila siku anapiga simu kuomba msamaha( japo najua kabisa jasiri haachi asili)
5. najiuliza hata kama nikitaka kuoa tena, will it be fair to my children?
6. nina watoto 3, will it suit me kuoa mwanamke ambaye hajazaa? ataweza kulea kwa upendo hawa watoto?
7.je nikioa mwanamke mwenye mtoto/watoto tayari si atataka naye awalete waishi kwangu? huu mzigo utaniua
8.je ni haki niwapeleke boarding hawa watoto ili mi niishi peke yangu?
kiukweli nipo njia panda, tafadharini yeyote anayeweza nisaidia kimawazo nitashukuru
asanteni!