Mkuu Kahema tuliza wahka ...its not the end of life !! You are still young at 35 yrs Life ndo taamu sana na wengi wanakutamaani !! tafuta kwa makini utapata na umpromise Love yako penzi jema akikaa na wanao vizuri!! utafanikiwa tu.... Halafu usifikirie ya nyuma ongoza mbele maisha yana songa mbele... "aliyemwaga mboga mwenyewe asikupotezee moods zako!! Hakuna kusamehesamehe..kwani hakuheshimu watoto wala hata ndoa yake!!Asante, nitaufanyia kazi ushauri wako.
ila swala bado lipo pale pale, baada ya hayo yote then what shall I do? should I sacrifice my happiness so that my children are happy? or should I keep on searching till god say yes? totally confused.
Asante, nitaufanyia kazi ushauri wako.

My dear??? Washishee tendo mmmhhhh kila mtu chumba chake mmmhhhhhh sina hakika
kusema la ukweli kwanza wewe ndio mwanaume wa kweli!....ila kama amewai kuwakimbia mpaka watoto akatokomea kweli huyo ni pakaroad!
kama unaye mama mzazi aje awalee huyo atakuja kukufanya ufanye kitu cha ajabu uishie jela na watoto wawakose wote.
unaweza pata mke mwingine bora si wote wabaya tafuta mtu mzima kidogo walau aliyefiwa a mume au aliyetendwa na dunia na kabla pima ukimwi kwanza.....pia huyo mwaamke awe na mtoto....tangaza hapa hapa mbona siku haitapita na wanajf tutachangia harusi na tutakuja wala usikonde wangu...yapo sana haya..mi ni dada yako najua unayopitia,
Inawezekana my dia
Mi ndugu yangu walifanya hivyo though at the end of the day waliachana
My dear??? Washishee tendo mmmhhhh kila mtu chumba chake mmmhhhhhh sina hakika
My dear??? Washishee tendo mmmhhhh kila mtu chumba chake mmmhhhhhh sina hakika
mkuu,nakushauri urudishe moyo nyuma,wafikirie watoto.unawatesa kwa dhambi ya mama yao.watoto huwa wana lose sana wasipomuona mama.ni bora uishi na huyo mwanamke hata kama mapenzi hakuna.hakuna kuduu au hata mtengane vitanda.lakini watoto wawe wanawaona mko pamoja.wanamuona mama na pia baba.hata darasani zitachaji sana.lakini kama unataka uwaharibu watoto basi wasiwe wanamuona mama yao around.
ni hayo tu mkuu,mengineyo kichwani mwako.
kusema la ukweli kwanza wewe ndio mwanaume wa kweli!....ila kama amewai kuwakimbia mpaka watoto akatokomea kweli huyo ni pakaroad!
kama unaye mama mzazi aje awalee huyo atakuja kukufanya ufanye kitu cha ajabu uishie jela na watoto wawakose wote.
unaweza pata mke mwingine bora si wote wabaya tafuta mtu mzima kidogo walau aliyefiwa a mume au aliyetendwa na dunia na kabla pima ukimwi kwanza.....pia huyo mwaamke awe na mtoto....tangaza hapa hapa mbona siku haitapita na wanajf tutachangia harusi na tutakuja wala usikonde wangu...yapo sana haya..mi ni dada yako najua unayopitia,
Well said. Mrudishe for the sake of your kids. Laleni chumba kimoja ili watoto wasijue kama kuna tatizo lakini vitanda tofauti. Boading school nakataa. Ni wadogo mno hawajitambui.
Usikimbilie mahusiano yoyote mapya kwa sasa, ni mapema mno.
Kamwe usiwetee mwanao mama mwingine maana hujui maisha yatakuaje. Umeshindwa kabisa, acha watoto wakakae na mama yao wewe peleka matumizi, hii ni muhimu sana ili usiwachanganye watoto
Last but not list, jiangalie wewe pia una tatizo gani mpaka mke a cheat. Wanawake hawa cheat hovyo kama kila kitu kiko shwari. Kuna wachache ambao nu hulka zao lakini wengi hu cheat for a reason. Jaribu kutafuta hiyo sababu.
Sent from my iPhone using JamiiForums