Sijui nianzie wapi?

Sijui nianzie wapi?

Kwanza pole sana kwa yaliyokufika ila hongerah wa kuwezakuwatunza watoto wako. Nataka tu kukupa uzoefu kuwa kulea mtoto tofuti na kulea mjukuau. Hata wewe kwa wajukuu nawzaiwe strict kwa kwawtoto usimlaumu Mama all in all ni vema umetambua umuhimu wa kuwalea mwenyewe. Usauri mwingi umpewa, chnganya na za kwako ufanye maamuzi.

Asante kiongozi
 
Pole sana, Inaonekana mwanamke amekuonea sana, mara nyingi wanandoa wanachepuka kama wametendwa kama ulishawahi kumcheat funguka na msamehe, ni ajabu sana ndani ya ndoa a date na 3 wanaume tofauti, Ushauri wangu tuliza kichwa usifanye maamuzi ya haraka, unaweza kumsamehe, unaweza kuishi bila yeye na ukalea wanaoo na unaweza pata mdada mwenye watoto na hata akileta wake pia mkawalea vizuri tu, tatizo hujatulia akili, unaumia na hina Imani naye sasa, all the best ktk maamuzi yako sahihi

ubarikiwe mkuu
 
Mkuu Biblia inasema samehe 7 x 70, je idadi ya makosa yake imetimu 490?
Mrudie tu maana huko nje kuna mbwa mwitu na fisi wakali wanaosubiri kukuteketeza kabisa usionekane katika uso wa dunia na watoto mkaacha yatima.
Cha kufanya kabla ya kumsamehe mke mpime damu kubwa mara 3 kama inavyoshauriwa kitaalamu. Akiwa salama na kwa kuwa amejutia kosa lake mrudie kama ameshaathirika hapo hamna jinsi kwani alichuma janga akale na wakwao...
Ahsante kwa kunisikiliza...
 
Bro pole sana, hauko peke yako katika hili...ushauri ni huu.......rudisha huyo kahaba hapo,,,, tenga chumba chake,,, angalau watoto wawaone mpo, hata wakijua mna maugomvi yenu, but mpo pamoja....awatunze wanenu.....langu ndo hilo....uwe makini sana kaitka hili.
 
Pole sana KK angu Kahema!! Najua binadamu tunapita katika mitihani na majaribu mazito hususani ktk mapenzi na ndoa!! Hilo lililotokea ni zito kibinadamu kiukweli hata Mimi limenigusa sana nahisi nimetendewa Mimi!!
Lkn, Mungu tunaemwamini, alietupa neema na hata baraka ya watoto hao uliopewa alituagiza KUSAMEHE ili tutue mizigo na fadhaha zetu!!
Utaenda dunia nzima, japo sio rahisi KK, Utaamua kuoa ata kuwapeleka watoto boarding lkn Nafsi yako kamwe haitatua mzigo unaokutesa sasa!!
Kama mlifunga kidini na una imani na Mungu NAKUSIHI MSAMEHE MKEO, itakuchukua mda kusahau na kupona maumiv hayo lkn MUNGU ATATENDA JEMA MBELE YAKO JUU ya ndoa yako mkeo atabadilika ukiwa tayari kua part ya yy kubadilika!!
BE STRONG, PRAY TO GOD, READ THE SCRIPTURES OF GOD!!
ONLY THIS WILL WORK BROTHER, MAINTAIN A POSITIVE ATTITUDE ON HER SO LONG SHE'S ALREADY CONFESSED WOT SHE HAS WRONGED YOU!!!
Mungu akupe nguvu KK Kahema
 
Last edited by a moderator:
Amini maneno yangu msamehe kwa roho nyeupe Haji rudia Tena. Mimi yalinikuta yako na tulikuwa na watoto wawili.
 
hapo kuna mambo mengi mno ya kufikirisha!

Kwanza usikilize moyo wako kwa muda wa angalau miezi 3 kabla ya kuchukua ushaurii wowote

POLE sana
 
Wanajamvi, natumaini muwazima wa Afya,
Nimeona nije kwenu walau mujue yanayonisibu, sio kitu kipya hapana, ila kimeniweka kwenye mazingira magumu sana, japo najitahidi kufanya kila linalowezekana walau upepo huu upite.

kifupi ni hivi Mama wa Watoto wangu (Mke) nimeamua kumrudisha kwao baada ya kugundua hakua mwaminifu kwangu ie niligundua anamahusiano ya Kimapenzi na Watu wengine Nje ya Ndoa, nilifanya uchunguzi wa kina nakugundua uchafu huo, baada ya mikimiki ya hapa na pale alikiri mbele ya wazazi wake kua yote niliyowaeleza ni ukweli mtupu. baada ya mashauriano ya muda mrefu nilifikia uamuzi wa yeye aondoke kwangu. hili halikua gumu sana kuamua kwa kila kitu kilikua wazi

So issue yangu kubwa ni nini nifanye baada ya hapa, ukizingatia yafuatayo:

1. tuna watoto watatu , mdogo kabisa ana miezi 9

2. hawa watoto nawapenda sana na mpaka sasa naishi nao

3.mimi mwenyewe umri umekimbia am 35 yrs now

4. mama watoto kila siku anapiga simu kuomba msamaha( japo najua kabisa jasiri haachi asili)

5. najiuliza hata kama nikitaka kuoa tena, will it be fair to my children?

6. nina watoto 3, will it suit me kuoa mwanamke ambaye hajazaa? ataweza kulea kwa upendo hawa watoto?

7.je nikioa mwanamke mwenye mtoto/watoto tayari si atataka naye awalete waishi kwangu? huu mzigo utaniua

8.je ni haki niwapeleke boarding hawa watoto ili mi niishi peke yangu?
kiukweli nipo njia panda, tafadharini yeyote anayeweza nisaidia kimawazo nitashukuru
asanteni!

Unaonekana unataka kumrudisha fanya hivyo.
 
Pole sana KK angu Kahema!! Najua binadamu tunapita katika mitihani na majaribu mazito hususani ktk mapenzi na ndoa!! Hilo lililotokea ni zito kibinadamu kiukweli hata Mimi limenigusa sana nahisi nimetendewa Mimi!!
Lkn, Mungu tunaemwamini, alietupa neema na hata baraka ya watoto hao uliopewa alituagiza KUSAMEHE ili tutue mizigo na fadhaha zetu!!
Utaenda dunia nzima, japo sio rahisi KK, Utaamua kuoa ata kuwapeleka watoto boarding lkn Nafsi yako kamwe haitatua mzigo unaokutesa sasa!!
Kama mlifunga kidini na una imani na Mungu NAKUSIHI MSAMEHE MKEO, itakuchukua mda kusahau na kupona maumiv hayo lkn MUNGU ATATENDA JEMA MBELE YAKO JUU ya ndoa yako mkeo atabadilika ukiwa tayari kua part ya yy kubadilika!!
BE STRONG, PRAY TO GOD, READ THE SCRIPTURES OF GOD!!
ONLY THIS WILL WORK BROTHER, MAINTAIN A POSITIVE ATTITUDE ON HER SO LONG SHE'S ALREADY CONFESSED WOT SHE HAS WRONGED YOU!!!
Mungu akupe nguvu KK Kahema
thanks man kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom