kabla ya kumsamehe ulifanya/ulipitia hatua gani kiongozi? kwangu mimi hari niliyonayo sio nzuri hata kidogo, imagine hata tu nikiona simu yake inaingia natamani kuitupa chini, nimemchukia kuliko maelezo. kama kweli una mwanamke anayeweza kuwakimbia wanae unadhani kukua wewe ni ngumu? umelifikililia hilo mkuu?Amini maneno yangu msamehe kwa roho nyeupe Haji rudia Tena. Mimi yalinikuta yako na tulikuwa na watoto wawili.
Huko kwenye kuua ni mbali sana, wala usifike huko.kabla ya kumsamehe ulifanya/ulipitia hatua gani kiongozi? kwangu mimi hari niliyonayo sio nzuri hata kidogo, imagine hata tu nikiona simu yake inaingia natamani kuitupa chini, nimemchukia kuliko maelezo. kama kweli una mwanamke anayeweza kuwakimbia wanae unadhani kukua wewe ni ngumu? umelifikililia hilo mkuu?
thanks sanaHuko kwenye kuua ni mbali sana, wala usifike huko.
Swala la mkeo kuacha watoto kunamfanya awe mtu ambae ni irresponsible, selfish na asiyejali watoto wake lakini sio muuaji. Hiyo chuki uliyonayo juu yake fanya uiondoe maana ni kama sumu mwilini, moyoni na akilini mwako. Inakuumiza wewe na sio mkeo.
Tena na hivi hayuko karibu, hulazimiki kumuona mara kwa mara ni rahisi sana.
# 1 Jiondolee ile hali ya unyonge na kujiona umeonewa.
#2 Jithamini, una haki ya kupendwa na kujipenda. Usikubali madudu ya mtu mwingine yakuache ukijiona huna thamani.
#3 Acha kulaumu.
#4 Jiamini. Usijione kwamba una mapungufu na ndio maana aka-cheat mara 3, mapungufu yake ndo yaliyompeleka huko.
#5 Be happy. Una watoto na unasema unawapenda sana. Take that as an advantage. Tumia muda mwingi pamoja nao, cheza, cheka na ufurahi pamoja nao. Lisaa limoja utakalopata furaha ya kweli toka kwao itadumu kwa masaa mengi mbele.
#6 Kuwa na shukrani. Ndio mke wako kakutenda, lakini hao watoto unaowapenda sana umezaa na nani?!YEYE. Shukuru kwamba atleast umebaki na kitu kizuri maishani mwako.
#7 Jiweke karibu na watu unaoamini ni watu wazuri, watu wenye roho nzuri iwe ni marafiki au ndugu. Hii itakufanya ukumbuke kwamba sio kila mtu ni mbaya. Upendo wao kwako na wako kwao utasaidia kuyeyusha chuki uliyonayo juu ya mkeo.
#7 Kama unajiona ulikosea mahali mpaka mkafika hapo mlipofikia JISAMEHE.
#8 Punguza kuhadithia/kuongelea hili swala kila wakati, hiyo itakusaidia kupunguza hasira na machungu pia. Hata watu wakikukumbushia/wakitaka uwaelezee ilikuwakuwaje wambie yameshapita kisha ubadili story.
#9 Epuka kumuongelea mke wako ubaya zaidi. Kwa mfano ukiona una haja ya kumuongelea labda kwa watoto au rafiki kumbuka kitu kizuri alichowahi kukufanyia ama kinachofurahisha/chekesha ukiongelee hicho.
fill in the blanks..........
Last night I had a nightmare.....me&u were.......
Kuchukuchukuchuu....fukufukufuku....jigijigijigijigi.....mwishowe fokofokofokofoooooo....
Nilikuwa napita tu nyuma ya dirisha....
Teh teh teh umefaidi eeeh
Aaaah wapi mlinipa taabu kidogo, mtoto ana milio mingi kama kinanda cha Mzee Yusuph....
Daah hii story nimesoma imenisikitisha, ila huyo mwanamke nje alikuwa anafata nini? Hela ama good sex? Huyo mwanamke braza hakufai kabisa, usijiulize mara mbili fanya maamuzi magumu. Ila inaonekana ulifanya kosa mwanzoni wakati wa ndoa, uliona mwanamke anafit vigezo vyako na yeye akaona uko well off a.k.a jackpot akakukubali na siamini kama alikubali kuolewa out of love.
Next usifanye kosa hilo tena fanya chaguzi sahihi
Somamarambili hope hoe. pea. AmemalizaMsamehe tu.........,
wanaume wana mioyo migumu ya kusamehe tofauti na wanawake
Wanajamvi, natumaini muwazima wa Afya,
Nimeona nije kwenu walau mujue yanayonisibu, sio kitu kipya hapana, ila kimeniweka kwenye mazingira magumu sana, japo najitahidi kufanya kila linalowezekana walau upepo huu upite.
kifupi ni hivi Mama wa Watoto wangu (Mke) nimeamua kumrudisha kwao baada ya kugundua hakua mwaminifu kwangu ie niligundua anamahusiano ya Kimapenzi na Watu wengine Nje ya Ndoa, nilifanya uchunguzi wa kina nakugundua uchafu huo, baada ya mikimiki ya hapa na pale alikiri mbele ya wazazi wake kua yote niliyowaeleza ni ukweli mtupu. baada ya mashauriano ya muda mrefu nilifikia uamuzi wa yeye aondoke kwangu. hili halikua gumu sana kuamua kwa kila kitu kilikua wazi
So issue yangu kubwa ni nini nifanye baada ya hapa, ukizingatia yafuatayo:
1. tuna watoto watatu , mdogo kabisa ana miezi 9
2. hawa watoto nawapenda sana na mpaka sasa naishi nao
3.mimi mwenyewe umri umekimbia am 35 yrs now
4. mama watoto kila siku anapiga simu kuomba msamaha( japo najua kabisa jasiri haachi asili)
5. najiuliza hata kama nikitaka kuoa tena, will it be fair to my children?
6. nina watoto 3, will it suit me kuoa mwanamke ambaye hajazaa? ataweza kulea kwa upendo hawa watoto?
7.je nikioa mwanamke mwenye mtoto/watoto tayari si atataka naye awalete waishi kwangu? huu mzigo utaniua
8.je ni haki niwapeleke boarding hawa watoto ili mi niishi peke yangu?
kiukweli nipo njia panda, tafadharini yeyote anayeweza nisaidia kimawazo nitashukuru
asanteni!
Somamarambili hope hoe. pea. Amemaliza
Last night I had a nightmare.....me&u were.......
Aaaah wapi mlinipa taabu kidogo, mtoto ana milio mingi kama kinanda cha Mzee Yusuph....