Sijui niache kazi! Msaada wenu ndugu

Sijui niache kazi! Msaada wenu ndugu

Ng'wenhage kuli nene ong'wene nakwambilije.(Option No. 3)

ha ha ha,utadebile tukubhulagwa na ming'wana ukulitombela nke olyo ukhunu ugutumamaga nalyo alafu banhu ba kanda ya ziwa pyee,nahene aleunilemela namhala nakukwinhilijah,bhujiku ng'waka tubulalile.
 
mega kimtindo kimjinimjini, duuh wengine hatupatagi hizo bahati! we kalaghabao unapigateke fuko la pesa!
 
Ungekuwa mtoto wangu uje na story kama hii hakika ningejiuliza kama wewe una nguvu za kiumeni.
 
Hata kama dunia ingekuwa ina siri, akishakuwa mke wa Mtu na wewe unatambua hilo, ni Hatari sana kujiingiza kaka. Nikupongeze kwa kugundua mapema hatari iliopo na kuomba wadau ushauri, Ndugu yangu japo sijaoa lakini naamini hakuna kitu kibaya kama kuibiwa mke kwa Mwanaume. ''mkuu kila apandaye atavuna kwa wakati wake, pia fanya kwa mwenzio lile utakalo ufanyiwe na wewe''

Ni situation ngumu sana umejikuta upo, Lakini ukiweka nia utaivuka salama. Jipange vizuri kwa habari ya akiba na uombe kazi sehemu nyingine kwa kasi, ikishindikana unaacha hata hiyo kazi ikibidi.

You are very valuable brother, your parents needs you, your children needs you, your wife needs you, your neighbours needs you (hata kama hujaoa bado, si utaoa? watakuhitaji kwa wakati wao ktk afya njema), your plans awaits you, your future awaits you, and God has good plans for you. Kwa nini ujiruhusu mtu 1 kuharibu yote haya just kwa ngono na una vyeti vizuri tu? senseless.

Umeteseka na shule, umejinyima vitu vingi sana kwa ajili ya kuwa jinsi ulivyo, Please dont let this happen. itakuletea madhara makubwa sana, hata kama si ya moja kwa moja Mkuu. Imenigusa sana kwa kweli, Mungu akusadie.
 
Think big time mdada kabla ya kukubali offer ya kazi ulopigiwa pande na mkaka/mbaba

lazima akuvue nguo aisee, sasa wewe kaka kataa mpaka mwisho wa dunia, kwani hilo kampuni ni lake? na yeye si mwajiriwa tu asikubabishe sana, tena mwambie utamwambia mme wake
 
Km anakuzingua mwambie upo tayari kuacha kazi asikutafutie balaa! Maswala ya kwenda kumwambia mume wake achana nayo kwani utaharibu kabisa
 
Chunga tu afya yako... Otherwise ya nini uumize kichwa..
 
Yan uache kazi kisa??? jaman jaman watu hawana kazi wew unataka kuachaa! jipange tena sana kazi usiache
 
Wewe msomeshe kwamba kazi unapenda na pi unaheshimu ndoa yao! usikubali mwambie unampenda ila kwa kuwa tayari ameolewa ni ngumu! wakati huo tafuta tape recoder kutunza ushahidi. Then endeleaa kumshauri akubaliane nawe wakati huo we chapa kazi hakikisha unafanya kazi kwa ufanisi wako wote. Piea mweleze madhara kama atatakakukuharibia!

then uwe mwaminifu na mfungie vioo kiana ili uwe na sura ya kazi! ikitokea amekuharibia mface hubby wake na mwambie ukweli wa mambo na pia mpe ushaidi utarudisha kazi na ikishindikana atafanya lolote ili uwe na kazi kwa kuwa umelinda ndo yake!

Usijaribu kula tunda! ukifanya hivyo hautaacha utanogewa na itafika 40 mambo yatakuwa mabaya na unaweza kupoteza maisha yako hata kwa kuuawa! mke/mume wa mtu mavi!!!!

usisilize mambo ya kupiga mzigo then unatafuta pengine! no utanogewa! na je kama ameathirika?? si ndo umeukwaa! tena mtu wa jinsi hiyo basi ujue kuna wengi anawapa! shauri yako!!! nenda kazini chapa kazi, hakuna cha kukuharibia wala nini!!!:israel:

Usitende dhambi ya uzinzi na mke wa mtu itakurudia! kama sisi kukamatwa basi na wa kwako atatembelewa hapo baadaye! gangamaa kijana!!!!! usiogope kazi tunapewa na Mungu yamkini hapo si mpango wake kwanza umeingia kimapenzi mapenzi tu!

Chukua like mkuu.
 
Kumbuka story ya Joseph alipokuwa utumwani.
Alikataa kulala na mke wa Farao akatupwa gerezani lakini kwa sabbu ya kipawa chake akafanikiwa kushika nafasi ya uwaziri mkuu.
Luku vere kijana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom