Usidanganywe rafiki yangu ukamla kitakutokea puani!!!
Kwanza watu huwa wanajidanganya eti kapime HIV!! kuna ma STDs yanaitwa herpes simplex hayapimiki kirahisi kama HIV na hayana dawa. Kna chlamydia inaleta utasa na ni silent....haipimiki kirahisi kama HIV. Utapima HIV then mkutwe negative then uje upate hayo mengine. Balaa si liko pale pale tu?
Kumbuka atoae riziki ni Mungu na sio huyo Mwasherati.
Na je unajuaje kama hawaja panga na mumewe ili ukatwe mapumbu wakafanyie uganga kwa ajili ya biashara zao?? Jithamini maisha yako over and above hiyo kazi. Mungu atakupa nzuri zaidi and make it clear to her kuwa hauko tayari hata kidogo kutembea nae hata kama anataka iwe siri na umwambie asipojirekebisha ataumia. Kuna mtu amekushauri kumrecord, ila kumbuka kum blackmail ni balaa mtu hatari kama huyo so tumia huo ushauri ila kuwa makini usije ukaumia.
Kweli ndugu yangu umeingia choo ya kike mbaya!!!!! Pole but take heart, God will not let you be ashamed!!