we kubali yaishe sababu utapoteza vyote kule kazi umeacha cha kufanya hapo ni kula kisailensa we ni mtoto wa kiume hicho ni kitu kidogo sana kudeal nacho yapo mambo makubwa sana ya kuumiza kichwa sio hilo kwanza nakushangaa kujifanya unaumwa huyo dawa yake piga mzigo huku ukitafta ajira sehemu nyingine ukipata tu unasepa otherwise we kula lakini kimya kimya bosi asijue
Wanaume tumeumbwa kwa ajili ya mateso na hilo ni jaribu tu ambalo Mungu kaamua kukupa na inatakiwa ulishinde bila kuumia wala kumuumiza mtu,usiwe na papara za kuacha kazi bali jaribu kukabiliana nae kwa kumwambia kuwa zawadi yake atapata na asiwe na shaka huku ukiwa unatafuta namna ambayo unaona inafaa ama kuachana na kazi hiyo hapo na kutafuta kazi nyingine ama kutatua tatizo lililopo kwa kuweka mazingira mazuri katika kazi ambayo yanaongozwa na heshima ya kazi huku mapenzi yakiwa hayana kipaumbele kwani yatapunguza ufanisi kazini.
Kwa kuwa huyo Boss wako uchwara hajui nini maana ya nidhamu kazini basi weka ushahidi mapema ili siku mambo yakiharibika uwe na pa kutokea ila usithubutu kutembea nae kwa namna yoyote ile maana mwisho wake ni majuto.
Watu wengine bwana, hili nalo ni tatizo la kuja kuomba ushauri hapa? Sasa sikiliza:-
- Either umkubalie ummege. Siku ya kwanza hakikisha una spy pen au camera wakati unammega (huku ukiwa umevaa kondomu, kwakuwa ni siku ya kwanza hata yeye hatang'ang'ania sana umgonge peku peku maana siku hiyo atakuwa na pressure/hamu ya kubanjuliwa tu kivyovyote vile, so this is almost risk free) uwe unarekodi tukio zima. Hii itakusaidia kumgeuzia kibao maana baadaye ukimkatalia na yeye kutaka kukuharibia unamwambia akimwaga hiyo mboga yako (kazi yako) wewe utamwaga ugali (kwa kusambaza mkanda wake hata kwenye internet, mitandao ya kijamii na hata kupeleka nakala ya CD ya tukio hilo ofisini au nyumbani kwake ukimu-address mme wake moja kwa moja. Au unasafisha picha hizo unamtumia yeye kwanza pale kwake na kumuonya akiendelea zitamfikia mumewe. Kwa kufanya hivi, yeye itabidi awe mtumwa wako maisha yake yote, tena hapo unaweza kuendelea kummega tena kwa masharti magumu, mfano akununulie gari, akujengee nyumba na akupe hata mil. 100 kama mtaji wa kuanzia biashara! Hatakuwa na jinsi. Usiogope, stori za KUNASANA ni hadithi za abunuwasi hakuna kitu kama hicho. Ili kuukwepa mtego wa mme wake, wewe ndio umpe sharti la wapi ukammege na siyo yeye akupeleke anakotaka!
- Option ya pili ni kumkatalia kata kata, ila uhakikishe kazini unapiga mzigo sana na usipatikane na makosa ya uzembe au uharibifu wa mali kazini. Kwenye mazungumzo yenu (ya kumkatalia) hakikisha unayarekodi yote. Sasa akija kukurupuka kukufukuza kazi mburuze Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) na ukamshitaki chini ya kifungu cha Unfair Termination. Arguments zako zitakuwa ni insubordination and sexual harrassment. Hapo hawezi kuchomoa na kwakuwa ushahidi utakuwa nao tayari (wa mazungumzo au video) hapo atakuja akulambe miguuni tu!
- AU, ukishindwa kati ya 1 na 2 hapo juu, basi akili yako wewe itakuwa kama ya KIHIYO haina uwezo wa ku-solve matatizo MADOGO MADOGO kama haya hivyo nakushauri umlete/umlengeshe kwangu huyo bidada ili NIMSHUGHULIKIE kikamilifu amalize genye zake zote wakati wewe ukiendelea kupeta na kibarua chako kama kawa na kuanza kuitana shemeji kupitia kwangu. UNDERSTOOD? The ball is on your side now!
Pole sana,yashawahi nitokea kama hayo japo hayalandani kivile,,me nilisingizia nina matatzo ya kiafya,,
japo bado haikua dawa ila iliniasaidia kidogo,,niliongea na mshakaj wangu ni doctor pale muhimbili tukafoji had vyeti,,hatari hiyo michezo,,omba ushauri then chuja mwenyewe,,nakushauri kaa nayo mbali
nashukru sana ndg kwa ushauri wako especially no.2 ni njia nzuri zaidi da kweli jina lako masalapa kikwetu kule maana yake nini ujue! Akili nyingi,nimelipenda.
Watu wengine bwana, hili nalo ni tatizo la kuja kuomba ushauri hapa? Sasa sikiliza:-
- Either umkubalie ummege. Siku ya kwanza hakikisha una spy pen au camera wakati unammega (huku ukiwa umevaa kondomu, kwakuwa ni siku ya kwanza hata yeye hatang'ang'ania sana umgonge peku peku maana siku hiyo atakuwa na pressure/hamu ya kubanjuliwa tu kivyovyote vile, so this is almost risk free) uwe unarekodi tukio zima. Hii itakusaidia kumgeuzia kibao maana baadaye ukimkatalia na yeye kutaka kukuharibia unamwambia akimwaga hiyo mboga yako (kazi yako) wewe utamwaga ugali (kwa kusambaza mkanda wake hata kwenye internet, mitandao ya kijamii na hata kupeleka nakala ya CD ya tukio hilo ofisini au nyumbani kwake ukimu-address mme wake moja kwa moja. Au unasafisha picha hizo unamtumia yeye kwanza pale kwake na kumuonya akiendelea zitamfikia mumewe. Kwa kufanya hivi, yeye itabidi awe mtumwa wako maisha yake yote, tena hapo unaweza kuendelea kummega tena kwa masharti magumu, mfano akununulie gari, akujengee nyumba na akupe hata mil. 100 kama mtaji wa kuanzia biashara! Hatakuwa na jinsi. Usiogope, stori za KUNASANA ni hadithi za abunuwasi hakuna kitu kama hicho. Ili kuukwepa mtego wa mme wake, wewe ndio umpe sharti la wapi ukammege na siyo yeye akupeleke anakotaka!
- Option ya pili ni kumkatalia kata kata, ila uhakikishe kazini unapiga mzigo sana na usipatikane na makosa ya uzembe au uharibifu wa mali kazini. Kwenye mazungumzo yenu (ya kumkatalia) hakikisha unayarekodi yote. Sasa akija kukurupuka kukufukuza kazi mburuze Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) na ukamshitaki chini ya kifungu cha Unfair Termination. Arguments zako zitakuwa ni insubordination and sexual harrassment. Hapo hawezi kuchomoa na kwakuwa ushahidi utakuwa nao tayari (wa mazungumzo au video) hapo atakuja akulambe miguuni tu!
- AU, ukishindwa kati ya 1 na 2 hapo juu, basi akili yako wewe itakuwa kama ya KIHIYO haina uwezo wa ku-solve matatizo MADOGO MADOGO kama haya hivyo nakushauri umlete/umlengeshe kwangu huyo bidada ili NIMSHUGHULIKIE kikamilifu amalize genye zake zote wakati wewe ukiendelea kupeta na kibarua chako kama kawa na kuanza kuitana shemeji kupitia kwangu. UNDERSTOOD? The ball is on your side now!
dawa yake huyo ni ndogo sanaaaaaa!!! wewe kubaliana nae kila ktu atakachotaka kama kweli unataka kusalimika. Ikifika wakati wa kutaka kupeana mavituzi jiandae kurekodi suti za mazungumzo yenu yote, tena muongeleshe kwa namna ambayo mazungumzo hayo yatatoa utambuzi halisi wa huyo shugamami. Pia ikiwezekana kategeshe kamera ya korekodi mahari mtakapo patania kupeana mamboz. Katomasetomase kila mahali huku ukijiupusha na kula denda kabisaaaa, jifanye wewe ni mtaalamu wa massage, uanze na hiyo akiwa kama alivyozaliwa. baada ya muda ondoka bila ku-do kwa kisingizio chochote kile kinachosound positive. mf. siku hiyo waweza kuongea na jamaa akupigie simu kuna jambo lolote la dharula( hakikisha simu ina suti ya juu itakayomfanya asikie upande wa pili bila kuweka loud spika).
Basi hapo utajifanya umechanganyikiwa sanaaa, huku ukijipigapiga viputo vya miguuni kiaina ili dushelele lilale hoi. akijifanya kukubembeleza unajifanya umedata kabisa na hamna lolote zaidi ya kuwahi huko kunako dharula.
Hitimisho
Baada ya kupata vizingiti vya record ya sauti na picha sasa wewe ndio utakuwa upande wa ushindi. Akikutishia kukufukuza kazi na wewe unatishia kupublish mapicha ya ulivyom-do.
Ila nakutahadhalisha usijaribu kula mzigo hata kwa kondom maana huyo itakuwa ndio tabia yake ya kuliwa na wakubwa hata na wadogo.
Ila kama na wewe ni mr sitaki-nataka basi fanya utakavyo, maana unaweza ukawa unatu-enjoy tu hapa