ha haaa, sheshe ndo linaanziaga hapo.........
nipo nyuma yako shem......
nilikuwa nasubiri tu mtu wa kutangulia ajitokeze
UUUUWIH!nimelikoroga!
dada mkubwa sa hapa niombaje msamaha!ujue lile kosa la siku ile niilijichulkulia tu shindi mezani!sasa leo wlahi natolewa macho!:A S 20::redfaces:
usijali mdogo wangu, dada mkubwa nipo hapa.
si unanijua diplomasia zangu?
tutalimaliza soon
naogopa hata kuquote yailahi!
naogopa sasa hata cha kuandika sina
Mbona hafiki jamani...yeah, ngoja tusubiri
Wodini huku hamna wateja. Wadada na wajukuu zangu hebu acheni kutumia kondom nami nipate kazi ya kufanya.
Baada ya kusema hayo ODM narejea zangu kitandani.
Pole kwa watakaonimisi. Kwaherini nyote.
umesahau jik, lol!Yeah, vitu ambavyo havina ma chemical sijui ahydroquinini sijui ndo vya kupaka....unakuta mtu kachanganya jaribu sabuni, carolite, whitenig sijui nini vyote kwa pamoja twende kazi usoni....kwa nn usizeeke......
ha haaa, yupo, msome hapo juu, anaogopa ya kufa mtu, lol!Mbona hafiki jamani...
Au nae anaogopa..!!!
ha haaa, umeona eeeh!Itabd tu unfix some points
ha haaa, umeona eeeh!
soon
mi naona msamehe shem.....
ntaongea naye, nakuahidi hili halitajirudia tena
umesahau jik, lol!
hahahahahaaa
Nenda meatu yataona!
h haaaa, mi mkaleeeeeee!Haa haaa haaa...niliisahau shosti.......