Sijui ni macho yangu?

yaani ni balaa.....
nimesikitika tu hakukuwa na sample za warembo wetu nione nao kama wamependeza kwa hizo deki au wamejiharibu......
Wapo dia wamekua vituko vichekesho kama wadolii
Full vituko
 
Wodini huku hamna wateja. Wadada na wajukuu zangu hebu acheni kutumia kondom nami nipate kazi ya kufanya.

Baada ya kusema hayo ODM narejea zangu kitandani.

Pole kwa watakaonimisi. Kwaherini nyote.
 
Heh. Afu umepotea. Nimekumisi sana aisee.
Wodini huku hamna wateja. Wadada na wajukuu zangu hebu acheni kutumia kondom nami nipate kazi ya kufanya.

Baada ya kusema hayo ODM narejea zangu kitandani.

Pole kwa watakaonimisi. Kwaherini nyote.
 
Utaota usiku rafiki tena ndoto za kutisha lol!!! Chezeya vipodozi vya hovyo hovyo weye!!!!
ha haaaa, kuota........
kama hivyo basi tena maana naogopa sana ndoto za kutisha rafiki
 
Wodini huku hamna wateja. Wadada na wajukuu zangu hebu acheni kutumia kondom nami nipate kazi ya kufanya.

Baada ya kusema hayo ODM narejea zangu kitandani.

Pole kwa watakaonimisi. Kwaherini nyote.
mmmmhhhhh babu kulikoni?
kweli umepotea sana, yaani huwezi amini mkwe nilishasahau kama una-exist.... khaaaaaa, kupotea gani huko?
hajambo mkwe wangu Matesha? msalimu mamake pia
 
FP mbona mchokoziiii.......naogopa na mimi mwaya lol

Kama Chocs anataka kuwaona aje uwani lol....huku sebleni noma shosti
ha haaa, shosti na mimi nilikuwa nakurushia hilo soooo nione kama utaliweza, kumbe na wewe unaliogopa? ha haaaa
 
Heh. Afu umepotea. Nimekumisi sana aisee.
best mbona nasubiria ile mialiko haiji?
au umeona ntakuwa zigo lisilobebeka?
nimeshaanza kusave kidogo kidogo, zitakazopelea utaniunganisha kwa kukopa.....
 
ha haaa, shosti na mimi nilikuwa nakurushia hilo soooo nione kama utaliweza, kumbe na wewe unaliogopa? ha haaaa


Ha hahaaaa, kunguru mwoga shosti......ila kwa kweli hizi pics mi naona kabla ndo ilikuwa powa sana,,,ila baada lo...wamezeeka kabla ya siku zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…