Sijui ni macho yangu?

mdogo wangu snowhite samahani kwa hili, ngoja nimtetee mama K.....
shem hata mimi nimeshangaa..... vya ndani tuliambiwa viishie ndani.......
hata vya sebuleni marufuku kuvikuta kibarazani

UUUUWIH!nimelikoroga!
dada mkubwa sa hapa niombaje msamaha!ujue lile kosa la siku ile niilijichulkulia tu shindi mezani!sasa leo wlahi natolewa macho!:A S 20::redfaces:
 
UUUUWIH!nimelikoroga!
dada mkubwa sa hapa niombaje msamaha!ujue lile kosa la siku ile niilijichulkulia tu shindi mezani!sasa leo wlahi natolewa macho!:A S 20::redfaces:
usijali mdogo wangu, dada mkubwa nipo hapa.
si unanijua diplomasia zangu?
tutalimaliza soon
 
What about the benefits? Do they last a lifetime? If they do please ------- lol!!!!


ha haaa, unapenda macho yaliyorembuka wewe?
cost yake ni kubwa sana....... shauri yako
 
asa babe Paloma huyu Mr Rocky na gia zake na ubinamu mie antia shaka.. ndo maana nimemuambia aishie huko huko kwa Nivea.. kwako asisogee.. itanihuuuu kama atang'ang'ania ubinamu na wewe mahabuba..

sosoliso huyu Paloma ni ndugu yangu binamu yangu nina haki ya kuongea nae chemba wakati wowote ndo maana nawaita na Nivea tukae tuongee masuala ya familia na huwezi kuzuia
Wacha wivu nawapenda sana mabinamu zangu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…