hapo wala usivae miwani
alifanya kumeza kidongo full
so ndo kawa nyeupe kama karatasi
sijui itakuwaje kwani muuza vidonge mwenye alikwisha rip toka mwaka jana FP kazi kwako.
hata picha umeshindwa kuziona?Sijui kama sijajielewa au sijawalelewa
hapo wala usivae miwani
alifanya kumeza kidongo full
so ndo kawa nyeupe kama karatasi
sijui itakuwaje kwani muuza vidonge mwenye alikwisha rip toka mwaka jana FP kazi kwako.
nyie wapenzi wawili msinitafutie balaaOhhhh sorry FP sasa kwa hiyo tukusaidieje hapo
Maana kama huyo muuza kidonge kasharestishwa in pisi tutaona mengi sana
Meza mkaa unaweza kuanza kugeuka tena
ndio wewe wewe unijibu toka lini hatujawasiliana hata kama umehamia charambe kwa mchawi tuwasiliane!!!!!khaaaaa, twin maswali yako!
Ndo teja kakujia na maswali haya leo?
Mimi huyuhuyu twin wako kweli?
wewe Mr Rocky.. nina RB ya polisi kuhusiana na tukio la kurusha bomu kule Arusha kanisani.. haina jina ukifanya mchezo utajikuta uso kwa uso FBI..!
sasa wewe si unajua kule umeme hakuna, tutawasilianaje?ndio wewe wewe unijibu toka lini hatujawasiliana hata kama umehamia charambe kwa mchawi tuwasiliane!!!!!
ha haaa, na siwezi sema unakuja haribika baadae.
kwani mi naona hata hao wanaojiona muonekano mpya wapo bomba, wanatisha.
hakuna kitu kibaya kama kutokujikubali
ha haaa, nashanga!kama hujiappreciate who will appreciate you jaman.
ha ha ha.. mnasemaga nyie binamu nyama ya hamu.. nakuangalia tu na gia zako hizo..
picha umeiona lakini?
na mimi sijui nitafute kidonge, lol!
ha haaa, kama najiona nitakavyokalishwa kikao na ukoo, lol!UWIIIIIIIII!usinipe puresha mimi!