Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

Bora useme mwenyewe...Wengine kununanuna si hulka yetu huwa tunabaki kutabasamu tu na kuuliza ni aje!? Ndio yamekuwa haya tena!?

ha haaa, halafu huyo mnuniwaji umeona alivyotabasamu? haani hapo ndo anazidi kukupandisha hasira
 
Bora useme mwenyewe...Wengine kununanuna si hulka yetu huwa tunabaki kutabasamu tu na kuuliza ni aje!? Ndio yamekuwa haya tena!?
ha haaa "niambie sasa hizi sitaki kusubiri hiyo sms", lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ha haaaa, umenikumbusha siku nililia airport....
ndege yangu iliahirishwa bana, nikajisemea naenda kupambana nao huko airport mpaka kieleweke. kweli walikuwa na sababu ya kuahirisha ile flight, nje ya uwezo wao. basi nimefika na mizigo yangu wakaniambia ndege imeahirishwa mpaka siku fulani, nikawaomba wanibadilishie rout wakanizingua, nisianze kulia nini..... imagine mtu nipo check in point nalia balaa, wazungu wacha wachanganyikiwe.... wakaanza kukimbizana mtu analia, wananiuliza sababu, nawaambia nataka kwenda nyumbani, kuangalia pp yangu ya TZ wakanishangaa sana, eti nalilia kwenda TZ. Ila kulia kulisaidia, walikimbizana mpaka wakapata ndege ya kunifikisha home ingawa walinibadilishia rout lakini nilifika..... chezea machozi wewe
Hahahaahahahaaaahaha aaaaah nimecheka duh kama nakuona na mabegi yako. Ilikua lazima wakimbizane yaani mwanamke wakitz hukukubali mpaka kikaeleweka chezea wabongo wewe.
 
Pacha wako wala asikucheke kwenye hili la kuangusha machozi hadharani. Hana tofauti kabisa na wewe. Akitaka huduma mahali akiikosa basi huanza kutiririka na machozi tena ndoo za machozi 🙂🙂
Hahahahahaha mie hii huwa siipendi kabisa lkn sina uwezo wa kujizuia au kuacha kabisa. Kama huwa inamtokea Nampa pole.
 
Ila mimi kwa wanawake wa kileo naona wapigwe tu ..maana mmejaa ujeri, utepeli, usaliti, mmmmmh
Hahahaha hapo ume stereotype sema uliokutana nao wewe ndio wako hivyo unavyodhani. Hivi huoni siku hizi wababa ndio wanaotembezewa kichapo chezea Jim wewe.
 
Bibie Fixed Point umeshazaa watoto? unao wajukuu bibie? ninakushauri jaribu kila unapolala jipake wanja kila siku fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback.

hahahaaa....... Hii tiba hii, ngoja na mie nisubiri feedback maana ameshasema hospital hajapata utatuzi wa tatizo lake

cc: Fixed Point
 
Last edited by a moderator:
Kuhusu hilo Jukwaa muone Invisible, ila hata dogo lako chizi snowhite analijua, wenyeji wanasema huwa anaingia kwa ID tofauti tofauti.

Sasa na uzee huo halafu unapiga wanja lol!
ahahahahahhah Fixed Point dada langu yani ie dogo lako kabisaaaaa niingie jukwaa lile kwa ID nyingine ili iweje?
sasa kule si ndo kwa kuingioa na id yangu ili nitokamo mrithi kidogo!we mtani mtaje tu unayetaka kuseanaingia kule nba id nyingine
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha hapo ume stereotype sema uliokutana nao wewe ndio wako hivyo unavyodhani. Hivi huoni siku hizi wababa ndio wanaotembezewa kichapo chezea Jim wewe.

Wapi acha neno....nilichogundua ni kwamba wanawake wapigao wanaume wao huvizia wakiwa wamelewa chakali then akishambulia hukimbia....weeeeeeeeeee sio rahisi kabisa kimaumbile mwili wa mwanamke hata ungepiga jim kilo 10000000 bado hauwezi kuwa tough kama mwanaume, this is biological perspective not sociological one as U(women) always contend( Haki sawa kwa wote)
 
ahahahahahhah Fixed Point dada langu yani ie dogo lako kabisaaaaa niingie jukwaa lile kwa ID nyingine ili iweje?
sasa kule si ndo kwa kuingioa na id yangu ili nitokamo mrithi kidogo!we mtani mtaje tu unayetaka kuseanaingia kule nba id nyingine
ndo nilitaka kushangaa mdogo wangu, wewe huyooooo!
halafu nimeshakutafuta saanaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom