Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
jamaaani babu!Nimewamiss sana.....
Babu DC!!
jamaaani babu!
sisi tumekumiss pia dah!
so touching!
uko poa lakini?
ntawafikishia salamu Kaizer, Fixed Point, Kongosho na Asprin
Mjukuu DC
ahahahahah sasa wote tukiwa thio wachokodhi familia itapoa sana babuAhsante sana snowhite,
Nimefurahi na kufarijika sana kuona hapa umeongea kama mjukuu mwenye adabu..lol!
Nitashukuru ukiwafikishia ujumbe wangu hao na wengine wote ambao hatujaonana kwa muda mrefu. Halafu uwaombe wakupe mbini za kuishi bila kuwa mchokozi mchokozi....
Ukiwaona Smile na Kongosho wasalimie sana.....Wambie nilienda kumwona bibi yake Babu....
Babu DC!!