Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
huwa nasikiaga watu wanapozeeka wanarudia tabia za utoto, sijui kuna ukweli kwa kiasi gani....
Ila mwenzenu (sikumbuki kama kuna kipindi niliwahi kuliacha hili) ninapokuwa na usingizi macho yananiwasha sana, kama vile wafanyavyo watoto wachanga.
yaani kwa jinsi yanavyowasha, ningekuwa mtoto ningekuwa nalia, just like watoto wanavyoliaga wanaposhikwa na usingizi.....
nakumbuka wakati nipo boarding school wenzangu walikuwa wananicheka sana ninaposhikwa na usingizi,,,,, walikuwa wananitania kababy......
Ukweli sielewi hii inasababishwa na nini.... mbona wenzangu hayawapati haya?
mtani wangu watu8, kuna chembe ya maswala ya kiafya kuhusu hili?
naomba niwaulize pia measkron, King'asti, Dr. Riwa na matabibu wengine
hata ushauri wa kimitishamba wa MziziMkavu unahitajika
hata wengine ambao siyo matabibu naomba michango yenu kuhusu hili

Last edited by a moderator: