Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

ha haaa, kipaji hicho ntakipata wapi twin?
hivi unajua nikijiweka makeup naona noma sana? yaani hata kutoka inakuwaga soo..... wanja wa hivyo ntaweza?
ila ukweli kapendeza sana
Kwa sababu ni dawa nawe wataka kupona basi huna budi kuitumia. Sasa sijui utapaka wa rangi ya brown au black manake mimi mwenyewe hii makitu siyajui vizuri. Pia unapaswa kujua unaupaka wakati gani asubui ukiamka mara baada ya kuoga au saa ya kulala
 
kaniambia wanja wa kiarabu...
nipake usiku ninapotaka kulala
 
mimi nipo naturale...... najipenda hivi hivi bila ya kuongeza vipodozi

Aagh!!! sasa kwani mwanamke anayejidecorate nae ni wa kuoa.....hao wakuuza nao sura tu na siku zote huishia kuzaa nyumbani maana wao usista dad mbele badala ya maisha but vitu natural bwana eeh vyovyote awavyo ndiye mama wa kuweka ndani(fahari) ya nyumba save only bad behaviour.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom