Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

Bora ujikubali haiwezekani na ujana au uzee huo leo igeuke kua ugonjwa. Zipo hali hatuzipendi lkn hatuna control nazo
ha haaa, nakuwa tempted kujikubali ila inakera sana wakati mwingine pacha
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahahah lol! Mie huwa sikoromi banaaa 🙂🙂 nikilala kimyaaaa hata sauti ya fan ni kubwa sana...Walinicharura kwa sababu walijitahidi kuniamsha bila mafanikio na hawajawahi kuniona nauchapa kwenye movie hata tukiingia za saa nne za usiku....Chezeya siku mbili za kulala masaa machache weye!!!!... Movie hii hapa rafiki itafute ukaione, mie lazima niione tena safari hii na macho maangavu tangu mwanzo hadi mwisho 🙂🙂

ha haa, pole rafiki...
nitaitafuta hiyo nami nikai-watch..... nimependa the fact kwamba kaact Denzel ila hayo mambo ya guns sijui nitapenda?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Bibie Fixed Point umeshazaa watoto? unao wajukuu bibie? ninakushauri jaribu kila unapolala jipake wanja kila siku fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback.
nina watoto wa3, wajukuu bado sijabahatika
ha haaa, afadhali leo ushauri wako umekuwa siyo ule wa ......
itabidi nikatafute huo wanja maana mimi siyo muumini wa urembo.
nitajaribu kuanzia kesho /kesho kutwa siku nitakayopata huo wanja then nitakuwambia baada ya siku 3, sasa huo wanja napaka wapi? ndani ya jicho au huku juu kwenye eyebrows au wapi?
 
Utaipenda usiwe na wasiwasi pamoja na kuwemo bunduki.
kama unanihakikishia basi nitaenda kuiangalia..... sijawahi kuwa disappointed na movies ulizonipendekezea
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nina watoto wa3, wajukuu bado sijabahatika
ha haaa, afadhali leo ushauri wako umekuwa siyo ule wa ......
itabidi nikatafute huo wanja maana mimi siyo muumini wa urembo.
nitajaribu kuanzia kesho /kesho kutwa siku nitakayopata huo wanja then nitakuwambia baada ya siku 3, sasa huo wanja napaka wapi? ndani ya jicho au huku juu kwenye eyebrows au wapi?
Bibie Fixed Point Hata kupaka wanja hujuwi hahahahah paka kwenye sehemu zinazo washa pata wanja manga ule wanaopenda kupaka waarabu waulize waarabu wataweza kukupatia wanja ni dawa nzuri kwa matatizo ya macho. pole sana bibie ningekuwa karibu ningelikupaka wanja.
 
Last edited by a moderator:
Wanja huu unapakwa wapi!? Isije kuwa kwenye nanihii maana wewe MziziMkavu nimekuvumilia kofia 🙂🙂...Najaribu kupiga picha kumuona rafiki yangu yuko busy kupaka wanja kunako ili apande kitandani hahahahahah lol!

Bibie Fixed Point umeshazaa watoto? unao wajukuu bibie? ninakushauri jaribu kila unapolala jipake wanja kila siku fanya hivyo kwa muda wa siku 3 kisha uje unipe feedback.
 
Last edited by a moderator:
Bibie Fixed Point Hata kupaka wanja hujuwi hahahahah paka kwenye sehemu zinazo washa pata wanja manga ule wanaopenda kupaka waarabu waulize waarabu wataweza kukupatia wanja ni dawa nzuri kwa matatizo ya macho. pole sana bibie ningekuwa karibu ningelikupaka wanja.
Urembo ni kipaji ujue MziziMkavu..... kuna wengine hatujajaliwa hicho kipaji, ni mwendo wa naturale tu.
Bora hata umeniambia na aina ya wanja, lol! asante sana, nitaenda kuutafuta huo wa waarabu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanja huu unapakwa wapi!? Isije kuwa kwenye nanihii maana wewe MziziMkavu nimekuvumilia kofia 🙂🙂...Najaribu kupiga picha kumuona rafiki yangu yuko busy kupaka wanja kunako ili apande kitandani hahahahahah lol!
ha haaa, rafiki na wewe......
haya keshajibu, kwenye macho
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuhusu hilo Jukwaa muone Invisible, ila hata dogo lako chizi snowhite analijua, wenyeji wanasema huwa anaingia kwa ID tofauti tofauti.

Sasa na uzee huo halafu unapiga wanja lol!
ha haaa, haya ngoja akuje mdogo wangu aniambie, lol!
nitaingia huko na wanja wangu, kwa hisani ya MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Wanja huu unapakwa wapi!? Isije kuwa kwenye nanihii maana wewe MziziMkavu nimekuvumilia kofia 🙂🙂...Najaribu kupiga picha kumuona rafiki yangu yuko busy kupaka wanja kunako ili apande kitandani hahahahahah lol!
Mkuu BAK Wanja anapaka kwenye nyusi za macho. Asali unapaka kwenye utupu wako wewe dume kisha ndio unamuingilia mwanamke atajisikia raha ya ajabu. Au Mwanamke anaweza kujipaka asali kwenye papuchi yake kisha wewe dume ukimuingilia huyo mwanamke hutataka tena mwanamke mwengine anakuwa kama amekuroga kimapenzi.
 
Hahahahahaha lol! Utamu unapakwa utamu!!! 🙂🙂 Where is Nyamayao AKA Mama asali when you need her lol!!!!

ha haaaa, kweli huyu ndo mzizimkavu, lol!
nimecheka mno. haya ngoja nikatafute asali, lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom