Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

ningependa kujua faida nyingine mbali na hiyo MziziMkavu
Bibie Lady doctor Kwa Mwanamke akipakaa wanja inamfanya huyo Mwanamke apendeze mbele ya macho ya wanaume unakuwa unavutia mbele ya wanaume kimapenzi wanaume wanakuwa wanakutamani. Angalia bibie huyu alivyopendeza Mashallah Mzuri sana huyu bibie.............:A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose: Mwanamke wanja na kujipamba .............................................


fat3.jpg
 
🙂🙂🙂 Mie na KURIA mbali mbali pamoja na hayo bado lazima nikupigie debe kwa uwezo wako mkubwa wa kufanya hivyo kwi kwi kwi kwi
ha haaa, asante kwa debe..... kama kwenye sinema vile, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bibie Lady doctor Kwa Mwanamke akipakaa wanja inamfanya huyo Mwanamke apendeze mbele ya macho ya wanaume unakuwa unavutia mbele ya wanaume kimapenzi wanaume wanakuwa wanakutamani. Angalia bibie huyu alivyopendeza Mashallah Mzuri sana huyu bibie.............:A S kiss::A S-rose::A S-rose::A S-rose: Mwanamke wanja na kujipamba .............................................


fat3.jpg
kweli kapendeza sana, ila mimi hapana, hivi hivi nilivyo inatosha
 
Si rahisi kulala kwa masaa mawili au matatu kwa siku mbili mfululizo kisha kutaka kukesha na siku ya tatu bila kuwepo repercussion.
Got you, thanx......
nitapumzika kesho, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh! Haya banaaaa 🙂🙂...mie nilikuwa nazungumzia ile incident ya kuuchapa kwenye movie theater.
ha haaa, kweli kuchakacua uzi ni kubaya.....
mi nilidhani unazungumzia kuhusu kuwashwa kwa macho ndo unanishauri nipumzike, lol!
samahani kwa hilo rafiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom