Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

Kwa kifupi ni msanii labda ulikuwa unatafuta facts, siyo kwa BAK banaaaa ulikolala mie ndiko nilikoamkia snowhite...Chezeya BAK weye!!!! Burudika na hii kitu kabla hujapanda kitandani, nayo inaita kiuhakika.



ahahahahhahah

BAK
kajaa kingi kajua niko njwii kweli!
ajahahahhahahhahahha mwambie rafiki yako mi ndo nyumba ya sanaa !
FULL MAIGIZO mpaa kanisani!
ehhehehheheh af ina fulani wanajifanya wanajua kuigiza!watu tupo na vipaji vyetu hapa!
 
Last edited by a moderator:
mie sipendi maigizo kabisaaaa, lakini ukileta maagizo basi hugeuka na kuwa maigizo mtindo mmoja, nayaweza tena sana tu.

ha haaa, eti mi naona mmefanyiana maigizo, lol!
ngoma droo...
wewe mdogo wangu kwa kuigiza nakufagilia, ila BAK sikujua kuwa yeye ni mwigizaji pia, nilijua ni life saver tu, kumbe na maigizo anayajua!
MMETISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!
 
UTAJIBEBA!
mi nakuangaliaga tu kila siku unavyocheka na nyani ngoja ukute mabua ndo akili zitakukaa!
kazana kuwekamo madedication wenzio ndo wanayatumia hayo hayo !
we unabaki kuitwa LAIFU SEVA !!tu
SHAURILO!
unaniuziga mimi aaaargh!
Hahahahahahahahaha duh umetiamo maneno makali kweli
 
snowhite, Ablessed, chikutentema na rafiki yenu BAK ntawatimua kwenye uzi wangu....
mkafanye madiskasheni yenu kwenye uzi mwingine, sawa?
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mnasonyaje kimya kimya!
Hahahahahahahahahahahahahahahah uuuuiiiiiiiiiiiii . Mimi nimeacha kabisa wala thirudii kuchakachua nshajifunza ustaarabu .
 
mi sawa naenda kulala BAK lakini
BORA PUNDA AFE MZIGO WA BWANA UFIKE!
we haya!
hapo ndo unafanya nimmisimo Kaizer
angekuwa ni yeye hapa ningelkuwa nimelala saa mbili kasorobo!
saaa nyiiiingi !
we unapewa perememde unatulia!
komaa na halua ENH!

Haya haya snowhite nipe samare haraka sana....siku nne za kutafuna halua sio mchezo ujue! (Hivi ile project ya aliyekuwa FP na Dark City imeshafanyiwa evaluation? Ina mana Kongosho alishinda tenda?)
 
hapa sasa naweza kuleta kikombe cha chai upyaaaa!
hujambo lakini?
tunaenda lini mjengoni?
ahahhahaha uthiku mwema bana!mi thitaki!

Apa sasa apa.....apa...hivi mwalimu wangu umekuwa mbunge hadi uende mjengoni kwa style hii ya mbuzi karesist journey?
 
Apa sasa apa.....apa...hivi mwalimu wangu umekuwa mbunve hadi uende mjengoni kwa style hii ya mbuzi karesist journey?
ahahahhahahah haka kaneno kamwisho mekamithi mimi!\
i mithi pia ile mineno ya kiyunani tunaelewa wenyewe!
ahahahaha Asprin bana ana safari ya mjengoni siku si nying!kaa nae chemba akakwambie uzur!i
kuhusu Fixed Point na Dark City kazi ilishaisha siku nying!\
af Kongosho anataka kuanzisha chuo kikuu amekwambia!?
sasa yupo busy kuandika pepa!
case study babu DC!
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahahah haka kaneno kamwisho mekamithi mimi!\
i mithi pia ile mineno ya kiyunani tunaelewa wenyewe!
ahahahaha Asprin bana ana safari ya mjengoni siku si nying!kaa nae chemba akakwambie uzur!i
kuhusu Fixed Point na Dark City kazi ilishaisha siku nying!\
af Kongosho anataka kuanzisha chuo kikuu amekwambia!?
sasa yupo busy kuandika pepa!
case study babu DC!
snowhite sa ivi saa ngapi...unaona ulivochelewa kipindi?
 
Last edited by a moderator:
huwa nasikiaga watu wanapozeeka wanarudia tabia za utoto, sijui kuna ukweli kwa kiasi gani....
Ila mwenzenu (sikumbuki kama kuna kipindi niliwahi kuliacha hili) ninapokuwa na usingizi macho yananiwasha sana, kama vile wafanyavyo watoto wachanga.
yaani kwa jinsi yanavyowasha, ningekuwa mtoto ningekuwa nalia, just like watoto wanavyoliaga wanaposhikwa na usingizi.....
nakumbuka wakati nipo boarding school wenzangu walikuwa wananicheka sana ninaposhikwa na usingizi,,,,, walikuwa wananitania kababy......
Ukweli sielewi hii inasababishwa na nini.... mbona wenzangu hayawapati haya?
mtani wangu watu8, kuna chembe ya maswala ya kiafya kuhusu hili?
naomba niwaulize pia measkron, King'asti, Dr. Riwa na matabibu wengine
hata ushauri wa kimitishamba wa MziziMkavu unahitajika
hata wengine ambao siyo matabibu naomba michango yenu kuhusu hili

Mh Mie nikihisi usingizi huwa napiga miayo saaana machozi hutoka!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom