Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

snowhite, Ablessed, chikutentema na rafiki yenu BAK ntawatimua kwenye uzi wangu....
mkafanye madiskasheni yenu kwenye uzi mwingine, sawa?
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
mnasonyaje kimya kimya!

Mmmmh we binti unambinu hamsishi kweli.....hivi unajua kuna mbinu moja ya kumdadisi mtu ili akupe maelezo zaidi kama anajifanya unambishia zaidi.....akiesema uanmbishia tena ...ndio wewe sasa
 
ha haaa, hii ni rushwa ya wazi kabisaaaaaa Ablessed aje aone hapa.....
yaani mtu anapewa cheo hivi hivi kisa kafanikiwa kuingiza mtu kingi, noooooooooooooooooooooooo. snowhite umetisha mdogo wangu
Hahahahahahahaha snowhite anatishaaaaaaaaaaaaaaaa. Halafu nimemvulia kofia kwa maigizo anafanana na mama G
 
Last edited by a moderator:
Dozi dozi,,,ujue,hebu nsaidie apo juu basi HW ngumu hii

kwanza muamkie mwalimu kwa adabu zote itifaki na heshima ifate mkondo wake!
tatizo lako unaamini akili ulizokuwa nazo ukiwa form six PCM ndo zipo mpaka sa hz!
ehehehhehe sio kila MAGAZIJUTO ni mabano zidisha jumlisha toa!
zingine ni inabidi ujumlishe na kutoa tu basi!
 
Shkamoo Mwalimu snowhite!

Ngoja nirudie kusoma!:disapointed: Ole wako nielewa
Fixed Point:help:
 
Last edited by a moderator:
Shkamoo Mwalimu snowhite!

Ngoja nirudie kusoma!:disapointed: Ole wako nielewa
Fixed Point:help:
Huwa sina kawaida ya kufundisha kwa lugha nyepesi!
ila wanafunzi wote wasinielewe hata wewe!\
vya kuelewa vipo vingi humu!ila hapo kwenye post ya mwisho uliniquote anbgalia usioende chaka!
ehehehhe kwa kuwa ni wewe mwanafunzi wangu mtiifu toka enzi na enzi ngoja nikurahisishie tu!
huko juu teacher alikuwa bwaks!akawa mwalimu wa zamu kidogo af hapo chini nikastuka kuwa mwanafunzi wangu anaamini ana ubavu ule ule wa dozi za uform six leaver !ahahhahahha hata simba mzee husubiri awindiwe aletewe!
we bado unaapply mibio tu!
ehehhehe lazima ulale mchana ase!
 
ehehhehe lazima ulale mchana ase
!

tehe tehe tehe,......mi baado kabisa, somo lako la hesabu na physical education linasaidia sana.....ila ndo ivo mdogo mdogo kusimaa kuweka rejeta maji! ndo kuipumzisha injini ivo snowhite.....lol

Ntakuletea JD baadaye.....:yield:
 
Last edited by a moderator:
ahahahhahahah haka kaneno kamwisho mekamithi mimi!\
i mithi pia ile mineno ya kiyunani tunaelewa wenyewe!
ahahahaha Asprin bana ana safari ya mjengoni siku si nying!kaa nae chemba akakwambie uzur!i
kuhusu Fixed Point na Dark City kazi ilishaisha siku nying!\
af Kongosho anataka kuanzisha chuo kikuu amekwambia!?
sasa yupo busy kuandika pepa!
case study babu DC!

Nimewamiss sana.....

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom