Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #181
mmmhhhh! mimi hayo siyajui..... mimi nimejikuta tu napenda unaturaleAagh!!! sasa kwani mwanamke anayejidecorate nae ni wa kuoa.....hao wakuuza nao sura tu na siku zote huishia kuzaa nyumbani maana wao usista dad mbele badala ya maisha but vitu natural bwana eeh vyovyote awavyo ndiye mama wa kuweka ndani(fahari) ya nyumba save only bad behaviour.