Sijui ndo uzee....

Sijui ndo uzee....

Macho yakianza kuwasha huwa haoni rangi yoyote ile 🙂🙂...Si unajua uzee tena!!! Eti naye kishajiingiza kwenye kundi la Wazee!!!
ha haa, kwani rafiki wewe unahisi mimi siyo mzee?
 
Macho yakianza kuwasha huwa haoni rangi yoyote ile 🙂🙂...Si unajua uzee tena!!! Eti naye kishajiingiza kwenye kundi la Wazee!!!

wakati mtoto mbicho kabisa!
mtoto mteke kabisa huyu
mtoto analika hadi mfupa kabisa huyu
anajiweka kwenye kundi la uzee anataka kukunyima nn!
ASIKUTISHE!
 
snowhite umeshamaliza viroba vingapi?
muda wa kulala umefika..... potea
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
wewe ukimsikiliza mdogo wangu snowhite utalala nje.....
anajaribu tu kumpandisha chat dadake ambaye hata hauziki, lol!
weeee hebu wacha kumfanyia hivo mtoto wa mwanamke mwenzio!
ebana enhe BAK mi nna utani na wewe?
nakuuliza nna utani na wewe?
sasa amua wa kumsikiliza!
hata kama mbuzi anauzwa wenye gunia huwezi kuwekea njiwa bana!we vipi!
STUKA!
 
Last edited by a moderator:
Mwambie mdogo wako akalale sasa maana naona kaanza kuropoka sasa lol!!! sijui kishajitwisha viroba vingapi kichwani. Asije akakuliza bure hadharani 🙂🙂....Kenda kuibua mpaka mambo ya life saver, BAK na life saver wapi na wapi.

snowhite umeshamaliza viroba vingapi?
muda wa kulala umefika..... potea
 
weeee hebu wacha kumfanyia hivo mtoto wa mwanamke mwenzio!
ebana enhe BAK mi nna utani na wewe?
nakuuliza nna utani na wewe?
sasa amua wa kumsikiliza!
hata kama mbuzi anauzwa wenye gunia huwezi kuwekea njiwa bana!we vipi!
STUKA!
ha haaa, unamstua aliyelala, lol!
tena naona kuzimia kabisaaaaaa... BAK wewe endelea kuniporomoshea vibao..... mengine achana nayo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom