Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Im de most handsome guy in town!!(unbelievable) nipm nikutumie picha yangu
Sio pretty au beautiful? Pengine hata bootyful. . .
Im de most handsome guy in town!!(unbelievable) nipm nikutumie picha yangu
Name calling!
Ha ha ha!unaogopa ban ya maisha?Namuogopa uliemchagua ngoja nimngoje yule mwenzio!
sasa aijui nimuamini nani kati yako na Ashadii?
Im de most handsome guy in town!!(unbelievable) nipm nikutumie picha yangu
Wa tano toka kulia ndio Yo Yo mwenyewe.....
yah man na nimeshiba haswa.....hahahaah uko njema black beauty!
yo yo si unajua mi nilikupenda hata sijakuona sasa umeamuaje maana michele haniaachii pumzi yeye na belindayah man na nimeshiba haswa.....
Mie ruksa.....tufanye ka coversation ketu bana....tuanze na pmyo yo si unajua mi nilikupenda hata sijakuona sasa umeamuaje maana michele haniaachii pumzi yeye na belinda
ayaaaaa ndege tunduni..yo yo si unajua mi nilikupenda hata sijakuona sasa umeamuaje maana michele haniaachii pumzi yeye na belinda
Mie ruksa.....tufanye ka coversation ketu bana....tuanze na pm
gud boy the luckiest lady in jfmie ruksa.....tufanye ka coversation ketu bana....tuanze na pm
wenye wivu mjinyongeayaaaaa ndege tunduni..
haina kweeere arifu.....nitakuwa naku CC...yoyo watu tunataka tuibe mistari bana
nahisi tutaendana wewe...gud boy the luckiest lady in jf
yule michele kasema ataniroga sasa namtaka yule wa mwiiisho zile nywele zake zinanipagawisha jamani ndo wewe?