sijui nani ni nani hapa

sijui nani ni nani hapa

Mwalimu sasa yupi kati yao.

Smile size yako.....naamini kwa upendo uliouonyesha kutuwakilisha msibani, utaweza kuishi kwa upendo na Smile hapo na hekaheka za hapa na pale hazitakuwa na tatizo
 
Smile size yako.....naamini kwa upendo uliouonyesha kutuwakilisha msibani, utaweza kuishi kwa upendo na Smile hapo na hekaheka za hapa na pale hazitakuwa na tatizo

Mwalimu kuna mtu anatishia kumroga huoni kuwa ntamponza?
 
Wadau kwa mlio kuwepo huko dar!!!!
_MG_0528.jpg
jf-team.jpg
 
mimi ni mmojawapo hapo....halafu......?
 
Waombolezaji kwenye msiba wa mpendwa wetu Regia !
 
Du! bora tuanze kuweka picha na majina yetu ya ukweli......maana naona hapo kuna vichwa vya kazi sio mchezo. Sikujua kama wamo humu. bahati mbaya "no name calling" ningewataja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom