Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
Invisible fully smile, PAW amekunja mikono na anaonekana mwenye majonzi makubwa mno, Max, Snail, Pasco, MTM na wengine wanonekana wenye furaha mno.
Invisible hata hufananii kutoa BAN....loh,
bora hata PAW anaonekana mkali hata nje ya JF.....nimeshangazwa sana!!
Kila la kheri Belinda wa Man U na Smile.....!!