Michelle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 7,631
- 3,543
wenye wivu mjinyonge
Imeshindikana kufa,tunakutakia kila la kheri.....its not over until its over oooh!!
wenye wivu mjinyonge
gud boy the luckiest lady in jf
Mkuu samahani kama nitakuudhi......wewe ni shoga? kuna wakati ulikuwa unajiita bwabwa...au majina mkuu?Im de most handsome guy in town!!(unbelievable) nipm nikutumie picha yangu
Yo Yo muongo
hahahahaa.........afadhali yako wewe, mimi ndo nitafukuzwa kabisa niambiwe niende kwenye blogs nilivyo kama spoku!! (hivi matairi ya baiskeli za siku hizi yana spoku?? hukawii kukuta yanatumia wire less au sijui tube less au something like that!!)
Jimmy acha hizo!!......Gaijin namjua fika, na hata kama jike, kwani haifai kumpa dili??
kiboko yako chai ziwa ya moto.
wenye wivu mjinyonge
Hapana, ni Asha Dii, cant you tell?mimi ni mmojawapo hapo....halafu......?
daaah wazuri balaaa dah wallah lazima nitoke na kifaa kimoja hapo.jamani yeyote hapo kwa photo anipm hata nyumba ndogo loh
huyo kaka mbele ya mbele ya Max..smile lake tu🙂)
michele we soma tu number.si umeona nilivoondoka na kifaa kilaini.?Imeshindikana kufa,tunakutakia kila la kheri.....its not over until its over oooh!!