sijui nani ni nani hapa

sijui nani ni nani hapa

Majitu ya JF yameshiba sana aisee!...du!
Wenye mwili kama wangu lazima tutaogopa kuitwa kimbaumbau!
 
Duh!!!......sura za wana JF zinatisha(kama majambuuuuz)
 
Majitu ya JF yameshiba sana aisee!...du!
Wenye mwili kama wangu lazima tutaogopa kuitwa kimbaumbau!
hahahahaa.........afadhali yako wewe, mimi ndo nitafukuzwa kabisa niambiwe niende kwenye blogs nilivyo kama spoku!! (hivi matairi ya baiskeli za siku hizi yana spoku?? hukawii kukuta yanatumia wire less au sijui tube less au something like that!!)
 
namuona mayala na mkuu maxence hapo hongereni sana huyo dada ndo Faiza Foxy......
 
Dah.Mlipendeza sana yani.Hapo namtambua Max na pascal tu.. Huyu mdada sijui takuwa ni nani? au ndio MS?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom