medson jonasan
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 145
- 27
Petrol, diesel na mafuta ya taa bei juu! "umeme maji na mafuta ya kupikia hali kadhalika" kodi za nyumba balaa, Mchele na Nyama usiseme! sadaka juu wanataka noti sio sarafu! Mahari/posa nazo hatari, school fees utadhani unanunua shule, nauli ya mabasi ndo balaa! TV hatuoni hadi ving'amuzi tununue. piga mwenyewe hesabu Je hii ndo HAPPY NEW YEAR mliyonitakia 2014 au HEAVY NEW YEAR ?